Ndugu mteja.
Zile zilikuwa toleo la zamani kwa sasa tumekuja na toleo hizo ambazo ndio za kisasa zaidi. Pia kwa utararibu wa Tanesco hatubadilishi mita nzima. Mita inabadilishwa kwa sababu maalum.
Labda tujue ni kwanini mita ya zamani na sio za sasa
Hivi hili jibu mbona unalijibu sana?wakati sheria inasema ukitumia umeme chini ya unit 75 kwa mwezi unabadilishwa tariff?mbona wengine mnawabadilishia?kama mnataka hela semeni,lakin hii kauli ya kila mtu yupo katika kundi sahihi ni uongo!jibu vizrKila mteja anawekwa kwenye kundi la matumizi linaloendana na matumizi yake
Kumbe kujua wastani wa matumizi ya mteja husika mikoa mingine mnayo, Ila kwa KILIMANJARO mmeshindwa ndio sababu ya kutuondoa kwenye tarrif 4 na kusema mnaangalia matumizi ya wateja watakaostahili kurudishwa kwenye hiyo tariff 4 swala ambapo mngeweza kulitekeleza pasipo kuturudisha wote kwenye tariff 1.Je uhakiki huu mwisho lini maana tunaumia watu wa kipato cha chini kutumia Pesa zaidi ya mara tatu ya kiasi cha awaliWastani 389 kwa mwezi na haina deni
Nin tatizo na namba yako ya simu mpendwa mteja wetuTANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGA
TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGATANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGATANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGATANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGA
TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGA
SITAKI KUTENGUA ILE KAULI YA KUWAOMBA RADHI JUU YA TATIZO NILILORIPOTI MWEZI SASA UMEPITA.
NA NINAWAKUMBUSHA KULALAMIKA NI HAKI KAMA ILIVYOPAMBANUA HII THREAD.
TANESCO TANESCO IGUNGA.
Nilinunua umeme kupitia Mpesa na nikapata tokens lakini zinagoma, nimeakikisha number zote zipo sawa ila bado. Nikanunue mwingine na ukakubali. Nafanyaje kutatua tatizo hilo?
TAFADHALI REJEA PM.Nin tatizo na namba yako ya simu mpendwa mteja wetu
HapaKumbe kujua wastani wa matumizi ya mteja husika mikoa mingine mnayo, Ila kwa KILIMANJARO mmeshindwa ndio sababu ya kutuondoa kwenye tarrif 4 na kusema mnaangalia matumizi ya wateja watakaostahili kurudishwa kwenye hiyo tariff 4 swala ambapo mngeweza kulitekeleza pasipo kuturudisha wote kwenye tariff 1.Je uhakiki huu mwisho lini maana tunaumia watu wa kipato cha chini kutumia Pesa zaidi ya mara tatu ya kiasi cha awali