Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Ndugu mteja.
Zile zilikuwa toleo la zamani kwa sasa tumekuja na toleo hizo ambazo ndio za kisasa zaidi. Pia kwa utararibu wa Tanesco hatubadilishi mita nzima. Mita inabadilishwa kwa sababu maalum.
Labda tujue ni kwanini mita ya zamani na sio za sasa
Nashukuru kwa majibu yako.
Mimi bado sijaweka umeme, ndo niko kwenye mchakato.
Kua watu wanasema hizo mita za kwenye nguzo kuna wakati umeme/luku ikiisha ukinunua mwingine zinasumbua/ umeme hauingii.
Kwa sababuhiyo nikawaza kama kuna uwezekano wa kuomba ili nifungiwe luku ya zamani kama zipo