TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Ndugu mteja.

Zile zilikuwa toleo la zamani kwa sasa tumekuja na toleo hizo ambazo ndio za kisasa zaidi. Pia kwa utararibu wa Tanesco hatubadilishi mita nzima. Mita inabadilishwa kwa sababu maalum.

Labda tujue ni kwanini mita ya zamani na sio za sasa

Nashukuru kwa majibu yako.
Mimi bado sijaweka umeme, ndo niko kwenye mchakato.
Kua watu wanasema hizo mita za kwenye nguzo kuna wakati umeme/luku ikiisha ukinunua mwingine zinasumbua/ umeme hauingii.
Kwa sababuhiyo nikawaza kama kuna uwezekano wa kuomba ili nifungiwe luku ya zamani kama zipo
 
Mimi tariff mtanihamisha lini?nimeenda Tanesco Tegeta masaiti wakasema nastahili kuhamishwa tariff but mpka leo kimya!
 
Kila mteja anawekwa kwenye kundi la matumizi linaloendana na matumizi yake
Hivi hili jibu mbona unalijibu sana?wakati sheria inasema ukitumia umeme chini ya unit 75 kwa mwezi unabadilishwa tariff?mbona wengine mnawabadilishia?kama mnataka hela semeni,lakin hii kauli ya kila mtu yupo katika kundi sahihi ni uongo!jibu vizr
 
Nilinunua umeme kupitia Mpesa na nikapata tokens lakini zinagoma, nimeakikisha number zote zipo sawa ila bado. Nikanunue mwingine na ukakubali. Nafanyaje kutatua tatizo hilo?
 
TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGA
TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGATANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGATANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGATANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGA

SITAKI KUTENGUA ILE KAULI YA KUWAOMBA RADHI JUU YA TATIZO NILILORIPOTI MWEZI SASA UMEPITA.

NA NINAWAKUMBUSHA KULALAMIKA NI HAKI KAMA ILIVYOPAMBANUA HII THREAD.

TANESCO TANESCO IGUNGA.
 
TANESCO naomba kuuliza hivi ukipewa form ya kulipia ili upate kufungiwa luku ya umeme inatakiwa ilipwe pungufu ya siku ngapi na isizidi siku ngapi au ni free nitakapolipa ndipo nitafungiwa umeme?
 
TANESCO IGUNGA NINAWAPENDA SANA. FANYENI KAZI YENU. MUDA UNAONGEA.
 
Wastani 389 kwa mwezi na haina deni
Kumbe kujua wastani wa matumizi ya mteja husika mikoa mingine mnayo, Ila kwa KILIMANJARO mmeshindwa ndio sababu ya kutuondoa kwenye tarrif 4 na kusema mnaangalia matumizi ya wateja watakaostahili kurudishwa kwenye hiyo tariff 4 swala ambapo mngeweza kulitekeleza pasipo kuturudisha wote kwenye tariff 1.Je uhakiki huu mwisho lini maana tunaumia watu wa kipato cha chini kutumia Pesa zaidi ya mara tatu ya kiasi cha awali
 
TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGA
TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGATANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGATANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGATANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGA

TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA, TANESCO IGUNGA. TANESCO IGUNGA

SITAKI KUTENGUA ILE KAULI YA KUWAOMBA RADHI JUU YA TATIZO NILILORIPOTI MWEZI SASA UMEPITA.

NA NINAWAKUMBUSHA KULALAMIKA NI HAKI KAMA ILIVYOPAMBANUA HII THREAD.

TANESCO TANESCO IGUNGA.
Nin tatizo na namba yako ya simu mpendwa mteja wetu
 
Nilinunua umeme kupitia Mpesa na nikapata tokens lakini zinagoma, nimeakikisha number zote zipo sawa ila bado. Nikanunue mwingine na ukakubali. Nafanyaje kutatua tatizo hilo?

[emoji121]🏾️[emoji121]🏾️[emoji121]🏾️[emoji121]🏾️[emoji121]🏾️
 
TANESCO magomeni kuna ttz gani kila saa 8 usiku mnakata umeme kuanzia juzi, jana na leo kama kuna mgao semeni jamani au ndio mmeanza kumuhujumu mheshimiwa raisi kwa makusud
 
Umeme umerudi mpendwa mteja wetu
 
Kumbe kujua wastani wa matumizi ya mteja husika mikoa mingine mnayo, Ila kwa KILIMANJARO mmeshindwa ndio sababu ya kutuondoa kwenye tarrif 4 na kusema mnaangalia matumizi ya wateja watakaostahili kurudishwa kwenye hiyo tariff 4 swala ambapo mngeweza kulitekeleza pasipo kuturudisha wote kwenye tariff 1.Je uhakiki huu mwisho lini maana tunaumia watu wa kipato cha chini kutumia Pesa zaidi ya mara tatu ya kiasi cha awali
Hapa
 
Back
Top Bottom