24212097125Tunaomba namba ya mita
Huu ni uongo uliotukuka sijawahi nunua unit zaidi ya 61.5 tokea April 2016 hadi mwezi wa 9 mwaka huu hizi data sijui mmeokota wapi anyway hongera kwa data za kupikaWastani wa matumizi yako ni unit 78 kwa mwezi upo kindi la t1 matumizi ya nyumbani
Tanesco kuna shida kubwa sana nimekutumia private inbox naomba sana mnitatulie pleease siyo yote yakuweka hapa public...!!!Shukrani kwa ushauri
Nimepata muda mzuri wa kuweka data zangu hapa, nimefungiwa umeme tokea tarehe 5/9/2015 unit ambazo nishatumia ni 1610 hadi sasa. Kwa hiyo Jumla ya miezi ambapo nishatumia umeme itakua miezi 38 hivyo basi miezi tajwa na units zilizotumika hadi sasa ni wastani wa unit 42.36 kwa mwezi hiyo calculation yenu ambayo imewapa unit 78 nakushauri tu ni afadhali usingeandika ukakaa kimya. Hii itajenga dhana ya kuwa huduma zenu za kutatua matatizo mnavutia upande wenu kuridhisha watumiaji kwa majibu mepesi mepesi. Nawasilisha rudieni mahesabu yenuWastani wa matumizi yako ni unit 78 kwa mwezi upo kindi la t1 matumizi ya nyumbani
Umeme umerudi saa 12 na saa 2 umekatika tena mpaka sasa hakuna jambo ambalo sisi wateja wenu tunataka ni taaarifa na sio kutukatia kimya kimya inakera sababu tunapata udhia na hata hasara kwa biashara zetuUmeme umerudi mpendwa mteja wetu
NI KUHUSU MALIPO YA LUKU TSH 200,000 YALIYOKOSEWA NAMBA YA MITA. MWEZI SASA UMEISHA HAKUNA MAJIBU.Nin tatizo na namba yako ya simu mpendwa mteja wetu
NENDA OFFICE ZA TANESCO UKAPEWE UTARATIBU...NADHANI NI KUANDIKA BARUA KWA MENEJA THEN UNATATJLIWA TATIZO LAKONI KUHUSU MALIPO YA LUKU TSH 200,000 YALIYOKOSEWA NAMBA YA MITA. MWEZI SASA UMEISHA HAKUNA MAJIBU.
SISEMI MENGI MKUU. NAOGOPA KUAMBIWA MCHOCHEZI TENA.
KUHUSU PRIVACY HUJANIELEWA. NAMAANISHA MJALI (FARAGHA) PRIVACY YA MLALAMIKAJI.
TAFADHALI REJEA PM UTANIELEWA.
SHUGHULIKIENI TATIZO KUMRUDISHIA MTEJA MZEE UMEME WAKE. ALIKOSEA NAMBA YA MITA.
NI SUALA SOGO VIPI LICHUKUE MWEZI?
Suluhisho ni
TANESCO IGUNGA kutatua tatizo husika.
TUTUMIE LUGHA GANI WAPENDWA!!!!
Kote huko tumekwenda.NENDA OFFICE ZA TANESCO UKAPEWE UTARATIBU...NADHANI NI KUANDIKA BARUA KWA MENEJA THEN UNATATJLIWA TATIZO LAKO
daah pole mkuu...kwa hiloKote huko tumekwenda.
Kote huko wameenda?? au JF ndo Office, heheheKote huko tumekwenda.
Sio mim, mi APA nnashida yangu ya REA, Nimevamia, ila ofisini TANESCO , iringa tunawahitajidaah pole mkuu...kwa hilo
nenda kalie kwa waziri mkuuNI KUHUSU MALIPO YA LUKU TSH 200,000 YALIYOKOSEWA NAMBA YA MITA. MWEZI SASA UMEISHA HAKUNA MAJIBU.
SISEMI MENGI MKUU. NAOGOPA KUAMBIWA MCHOCHEZI TENA.
KUHUSU PRIVACY HUJANIELEWA. NAMAANISHA MJALI (FARAGHA) PRIVACY YA MLALAMIKAJI.
TAFADHALI REJEA PM UTANIELEWA.
SHUGHULIKIENI TATIZO KUMRUDISHIA MTEJA MZEE UMEME WAKE. ALIKOSEA NAMBA YA MITA.
NI SUALA SOGO VIPI LICHUKUE MWEZI?
Suluhisho ni
TANESCO IGUNGA kutatua tatizo husika.
TUTUMIE LUGHA GANI WAPENDWA!!!!
Tanesco ya wenye pesa. Sisi maskini tutafungiwa umeme kwa muda wanaotaka wao. Tunaomba wizara mnisaidie kila kitu nimekamilisha mpaka muda wa kusubiri umekwisha (Tanesco Kigamboni kwa kweli mmedhilisha RUSHWA ndo kipaombele chenu.Tanesco Makao Makuu mnakaa kimya inamaana mmeshindwa kunisaidia!!? Au ndiyo hivyo mko kwa wale wenye mamlaka na uwezo wa kipesa. Tuka lalamikie wapi. Ngoja niadike barua EWURA CC labda watanisaidia.