TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Haha huyu customer care anachapia kuandika hatari. Kuwa makini na uandishi bwana vinginevyo tutatilia shaka hata uwezo wako wa kutatua matatizo yetu
 
Haha huyu customer care anachapia kuandika hatari. Kuwa makini na uandishi bwana vinginevyo tutatilia shaka hata uwezo wako wa kutatua matatizo yetu
Shukrani kwa ushauri
 
Sisi wakazi wa Geita, hasa hasa Mwatulole Secondary, Mbugani nyakumbu, Nguzo mbili kishimbe Nzobe, Kumi na nne kambarage hatuna umeme kabisa, ila Juzi kati tunaona nguzo za umeme zinawekwa Mwabasabi ,ambacho ni kijiji kilicho mbele na mwatulole , sasa hatuelewi ni vigezo gani mnavyotumia. Wananchi wapo tayari kuvuta umeme kwa pesa stahiki hata leo hii, ila tanesco Geita ndio mnaowaangusha. Kwanza mmezidiwa kazi, Pili hamna nguzo , Tatu hamna maono.(Umeme wa mkopo).

Wanaohitaji umeme ni wengi sana hivyo toeni tenda kwa wakandarasi zaidi, ili muweze cover eneo kubwa kwa muda mfupi. Kisha mtafurahia ununuzi wa umeme .
 
Wastani wa matumizi yako ni unit 78 kwa mwezi upo kindi la t1 matumizi ya nyumbani
Nimepata muda mzuri wa kuweka data zangu hapa, nimefungiwa umeme tokea tarehe 5/9/2015 unit ambazo nishatumia ni 1610 hadi sasa. Kwa hiyo Jumla ya miezi ambapo nishatumia umeme itakua miezi 38 hivyo basi miezi tajwa na units zilizotumika hadi sasa ni wastani wa unit 42.36 kwa mwezi hiyo calculation yenu ambayo imewapa unit 78 nakushauri tu ni afadhali usingeandika ukakaa kimya. Hii itajenga dhana ya kuwa huduma zenu za kutatua matatizo mnavutia upande wenu kuridhisha watumiaji kwa majibu mepesi mepesi. Nawasilisha rudieni mahesabu yenu
 
Umeme umerudi mpendwa mteja wetu
Umeme umerudi saa 12 na saa 2 umekatika tena mpaka sasa hakuna jambo ambalo sisi wateja wenu tunataka ni taaarifa na sio kutukatia kimya kimya inakera sababu tunapata udhia na hata hasara kwa biashara zetu
 
Nin tatizo na namba yako ya simu mpendwa mteja wetu
NI KUHUSU MALIPO YA LUKU TSH 200,000 YALIYOKOSEWA NAMBA YA MITA. MWEZI SASA UMEISHA HAKUNA MAJIBU.

SISEMI MENGI MKUU. NAOGOPA KUAMBIWA MCHOCHEZI TENA.

KUHUSU PRIVACY HUJANIELEWA. NAMAANISHA MJALI (FARAGHA) PRIVACY YA MLALAMIKAJI.

TAFADHALI REJEA PM UTANIELEWA.

SHUGHULIKIENI TATIZO KUMRUDISHIA MTEJA MZEE UMEME WAKE. ALIKOSEA NAMBA YA MITA.

NI SUALA SOGO VIPI LICHUKUE MWEZI?

Suluhisho ni
TANESCO IGUNGA kutatua tatizo husika.

TUTUMIE LUGHA GANI WAPENDWA!!!!
 
NENDA OFFICE ZA TANESCO UKAPEWE UTARATIBU...NADHANI NI KUANDIKA BARUA KWA MENEJA THEN UNATATJLIWA TATIZO LAKO
 
TANESCO kwa nini mteja akihitaji huduma ya kuunganishwa umeme sehemu ambayo hakuna transformer mnamtaka anunue kwa gharama zake na kisha kuwa mali ya Tanesco na kuunganisha wateja wengine?
 
NI KUHUSU MALIPO YA LUKU TSH 200,000 YALIYOKOSEWA NAMBA YA MITA. MWEZI SASA UMEISHA HAKUNA MAJIBU.

SISEMI MENGI MKUU. NAOGOPA KUAMBIWA MCHOCHEZI TENA.

KUHUSU PRIVACY HUJANIELEWA. NAMAANISHA MJALI (FARAGHA) PRIVACY YA MLALAMIKAJI.

TAFADHALI REJEA PM UTANIELEWA.

SHUGHULIKIENI TATIZO KUMRUDISHIA MTEJA MZEE UMEME WAKE. ALIKOSEA NAMBA YA MITA.

NI SUALA SOGO VIPI LICHUKUE MWEZI?

Suluhisho ni
TANESCO IGUNGA kutatua tatizo husika.

TUTUMIE LUGHA GANI WAPENDWA!!!!
nenda kalie kwa waziri mkuu
 
Tanesco Makao Makuu mnakaa kimya inamaana mmeshindwa kunisaidia!!? Au ndiyo hivyo mko kwa wale wenye mamlaka na uwezo wa kipesa. Tuka lalamikie wapi. Ngoja niadike barua EWURA CC labda watanisaidia.
Tanesco ya wenye pesa. Sisi maskini tutafungiwa umeme kwa muda wanaotaka wao. Tunaomba wizara mnisaidie kila kitu nimekamilisha mpaka muda wa kusubiri umekwisha (Tanesco Kigamboni kwa kweli mmedhilisha RUSHWA ndo kipaombele chenu.
 
Back
Top Bottom