Itakuwa umehamishwa tariff kutoka Kwenye matumizi madogo kwenda makubwa.jamani naomba kujua mwezi wa sita nimenunua umeme wa tsh.9500 nilipewa units 75 mwezi huu nimeshindwa kuelewa kabisa tarehe moja nimenunua pesa ileile tsh.9500 nikapewa units 26 naomba kuelewa tatizo ni nini niko Kagera Biharamulo
Umebadilishwa kundi la magumizi kutoka tarif 4 kwenda tarif 1 hivyo tupatie namba yako ya mita tukushauri zaidijamani naomba kujua mwezi wa sita nimenunua umeme wa tsh.9500 nilipewa units 75 mwezi huu nimeshindwa kuelewa kabisa tarehe moja nimenunua pesa ileile tsh.9500 nikapewa units 26 naomba kuelewa tatizo ni nini niko Kagera Biharamulo
Nafasi za nafasi kwa mafunzo kwa vitendo zinatolewa nyingi sana lakini lazima pawe na ukomo wa idadi ya wanafunzo tutaowachukua.MNATUMA NAFASI ZA FIELD VYUONI
HALAFU TUKIJA MNATUAMBIA NAFASI HAZIPO.... MFANO MBEYA UNIVERSITY MLILETA NAFASI ZA WATU WA MECHANICAL ENGINEETING MMECHUKUA WAWILI TU KATI YA SABA
NINYI HAMFAHAM IDADI YA WANAFUNZI MNAOWAHITAJI KATIKA BRANCH ZENU KABLA YA KUTOA NAFASI..... KUNA WANAFUNZI WAMEKUJA DAR ES SALAAM WAKIJUA WANAKUJA KUFANYA FIELD TANESCO HUKO DAR LAKIN WAMEFIKA HUKO KUTOKA MBEYA UNIVERSITY WANAAMBIWA HAKUNA NAFASI NA NAFASI MLILETA WENYEWE MNAHITAJI WATU KADHAA.... SASA MNALETA NAFASI ZA KUHITAJI WANAFUNZI LAKINI WAKIFIKA HUKO UBUNGO MNASEMA ZIMEJAA ZIMEJAZWA NA NANI SASA ...MTU KATUMIA NAULI ,AMEKUJA KWA NDUGU HALAF MNAMWAMBIA KIRAHIS NAFASI HAKUNA, SASA MTU UNAJIULIZA WAMELETA WENYEWE WANATAKA WATU KADHAA KUTOKA MUST SASA INAKUAJE NAFASI ZIMEJAA ALIEJAZA NAFASI NI NANI?Nafasi za nafasi kwa mafunzo kwa vitendo zinatolewa nyingi sana lakini lazima pawe na ukomo wa idadi ya wanafunzo tutaowachukua.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Tafadhali wasilisha lalamiko lako kwa meneja muandamizi rasilimali watu ,TANESCO Makao Makuu, S.l.p 9024 Dar es SalaamNINYI HAMFAHAM IDADI YA WANAFUNZI MNAOWAHITAJI KATIKA BRANCH ZENU KABLA YA KUTOA NAFASI..... KUNA WANAFUNZI WAMEKUJA DAR ES SALAAM WAKIJUA WANAKUJA KUFANYA FIELD TANESCO HUKO DAR LAKIN WAMEFIKA HUKO KUTOKA MBEYA UNIVERSITY WANAAMBIWA HAKUNA NAFASI NA NAFASI MLILETA WENYEWE MNAHITAJI WATU KADHAA.... SASA MNALETA NAFASI ZA KUHITAJI WANAFUNZI LAKINI WAKIFIKA HUKO UBUNGO MNASEMA ZIMEJAA ZIMEJAZWA NA NANI SASA ...MTU KATUMIA NAULI ,AMEKUJA KWA NDUGU HALAF MNAMWAMBIA KIRAHIS NAFASI HAKUNA, SASA MTU UNAJIULIZA WAMELETA WENYEWE WANATAKA WATU KADHAA KUTOKA MUST SASA INAKUAJE NAFASI ZIMEJAA ALIEJAZA NAFASI NI NANI?
.......
wewe muwasilishie lalamiko si umelisomaTafadhali wasilisha lalamiko lako kwa meneja muandamizi rasilimali watu ,TANESCO Makao Makuu, S.l.p 9024 Dar es Salaam
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Ungetupatia taarifa kamili ya majina ya waliomba,walichojibiwa,nafasi walizoomba na mawasiliano yako tungewasilisha kitengo chetu cha Hr kwa hatua zaidi.wewe muwasilishie lalamiko si umelisoma
ili tuokoe muda ...
Umelipia kiasi gani kwa jina gani na namba yako ya simu tafadhaliHuku kwetu kituo cha mbagara charambe kuna usumbufu kweli hasa kwa wateja wapya kufungiwa umeme. Tunalipia 520,000 pamoja na nguzo unakaa miezi 6 bado ujaunganishiwa kilaukifuatilia wanakwambia nguzo hamna. Sasa hii shida inajenga kabisa mazingira ya rushwa kwani kuna watu wanafanikiwa ndani ya muda mdogo sie walala hoi tunapigwa kalenda INAUMA SANA ILA CHA KUFANYA NDO HAMNA.
Mkuu umelipia mwezi gani. Utaratibu ambao upo tunafuata mtiririko wa kwanza kulipia wa kwanza kufungiwa. Kama kuna mtu unamfahamu amefungiwa mbele yako tutaomba ushirikiano wako lakni pia kuna wimbi la vishoka ambao wapo tayari kuwatapeli wateja hivyo epuka sana kutoa helaHuku kwetu kituo cha mbagara charambe kuna usumbufu kweli hasa kwa wateja wapya kufungiwa umeme. Tunalipia 520,000 pamoja na nguzo unakaa miezi 6 bado ujaunganishiwa kilaukifuatilia wanakwambia nguzo hamna. Sasa hii shida inajenga kabisa mazingira ya rushwa kwani kuna watu wanafanikiwa ndani ya muda mdogo sie walala hoi tunapigwa kalenda INAUMA SANA ILA CHA KUFANYA NDO HAMNA.
Tarrif 1 ni wateja wa majumbani ambao matumizi yao ni kati ya unit 75 hadi 7500 kwa mwezi ambapo bei ya unit moja ni shillingi 292 bila kodi za serikali ambazo ni Vat, Rea na EwuraNahitaji mnieleweshe kuhsu tariff 1 na tariff 4.....
Chukua fomu ya maombi ya awali katika ofisi ya TANESCO iliopo karibu na wewe ni bureeeNahitaji msaada wa kuwekewa umeme. Wiring imefanyika 2015,shule niliyopo ina umeme lakin nyumba za walimu hakuna na ni eneo moja, tumejaribu kuomba msaada lakin bado. Tanga, wilaya Mkinga
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Mm nipo mjin na matumizi yangu kwa mwezi hayafiki unit 75,Tarrif 1 ni wateja wa majumbani ambao matumizi yao ni kati ya unit 75 hadi 7500 kwa mwezi ambapo bei ya unit moja ni shillingi 292 bila kodi za serikali ambazo ni Vat, Rea na Ewura
Tarrif 4 ni wateja wadogo sana ambao wengi wao wanapatikana vijijini ambao matumizi yao ni chini ya unit 75 kwa mwezi ambapo wananunua umeme kwa shilingi 100 bilamkodi za serikali.
TANESCO "Tunayaangaza maisha"