Umeme umefika kwetu kilakala kongowe ila baadhi ya mitaa aijawekwa nguzo za kusambaza umeme wakati makadi tulishalipa kabla umeme kufika shida nini.

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
 
MKUU mi nimelipia niunganishiwe UMEME mwezi wa 2 had Leo sijafungiwa, Leo ndio wamenichanganya kabisa KWA kuniambia store za TANESCO zinefungwa had baada ya mwezi mmoja ni kweli? Niko TANESCO ya kimara
 
Mm nipo mjin na matumizi yangu kwa mwezi hayafiki unit 75,
Je naweza kufungiwa kwenye system ya tarrif 4?
Unaomba kwa meneja wa mkoa au wilaya katika ofic za TANESCO

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Tanesco mkoani kilimanjaro ni lini mtatuletea umeme wakazi wa kijiji cha shabaha kata ya mabogini ni karibu miaka mitatu sasa tunapigwa dana dana tu kijiji kina wakazi zaidi ya elfu moja.

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Kijiji kipo wilaya gani na namba yako ya simu tafadhali

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Umelipia kiasi gani kwa jina gani na namba yako ya simu tafadhali

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Me nimelipia 515,618/= kwa jina la Josephine B. Nkane
no. 0688343697. Nimeaambiwa nisubiri baada ya miezi 6.

Sent from my SM-N915F using JamiiForums mobile app
 
Tumeipokea mpendwa mteja

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Tanesco mkoani kilimanjaro ni lini mtatuletea umeme wakazi wa kijiji cha shabaha kata ya mabogini ni karibu miaka mitatu sasa tunapigwa dana dana tu kijiji kina wakazi zaidi ya elfu moja.

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Kipo wilaya gani na namba yako ya simu

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Ajira mnapeana kwa kujuana hasa hasa kwenye idara ya uhasibu

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Mpendwa mteja wetu tunakuomba uelekeze lalamiko lako kwa Meneja Muandamizi Rasilimali Watu,TANESCO Makao Makuu,S.L.P 9024 kwa kuonyesha kwa kina unacholalamikia, aina ya upendeleo unaosema,waliopendelewa, Mkoa, Wilaya na nafasi ambazo unazilalamikia.

Aidha unaweza kuambanisha tangazo la ajiri ambalo unazungumzia.hapo ndio Uongozi utakupatia ufafanuzi stahiki.

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Tutaangalia matumizi yako na kukushauri

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Tanesco Mimi n lilipia kuunganishwa umeme pamoja na nguzo mwezi Wa NNE,,mpaka sawa Hawajaniunganishia NINI tatizo

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Nilienda kuulizia watakuja lini naambiwa hawajui

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Tanecso ivi garama ya nguzo moja nyumba ipo wilaya ya Mwanga,kijiji cha kilaweni je ni kiasi gani kwa kuvuta umeme
 
Hivi TANESCO mko serious kweli? MTU nimelipia kuwekewa since January sasa miezi saba hakuna kinachoendelea. Sio vizuri kabisa MNABOA SANA. Niko KWEMBE-MBEZI DSM
 
Umelipia kwa jina gani na namba yako ya simu tafadhali

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Kipo wilaya gani na namba yako ya simu

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Wilaya moshi vijijini. namba nitakupa pm

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…