Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU mi nimelipia niunganishiwe UMEME mwezi wa 2 had Leo sijafungiwa, Leo ndio wamenichanganya kabisa KWA kuniambia store za TANESCO zinefungwa had baada ya mwezi mmoja ni kweli? Niko TANESCO ya kimaraTarrif 1 ni wateja wa majumbani ambao matumizi yao ni kati ya unit 75 hadi 7500 kwa mwezi ambapo bei ya unit moja ni shillingi 292 bila kodi za serikali ambazo ni Vat, Rea na Ewura
Tarrif 4 ni wateja wadogo sana ambao wengi wao wanapatikana vijijini ambao matumizi yao ni chini ya unit 75 kwa mwezi ambapo wananunua umeme kwa shilingi 100 bilamkodi za serikali.
TANESCO "Tunayaangaza maisha"
Kijiji kipo wilaya gani na namba yako ya simu tafadhaliTanesco mkoani kilimanjaro ni lini mtatuletea umeme wakazi wa kijiji cha shabaha kata ya mabogini ni karibu miaka mitatu sasa tunapigwa dana dana tu kijiji kina wakazi zaidi ya elfu moja.
Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Me nimelipia 515,618/= kwa jina la Josephine B. NkaneUmelipia kiasi gani kwa jina gani na namba yako ya simu tafadhali
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Tumeipokea mpendwa mtejaMe nimelipia 515,618/= kwa jina la Josephine B. Nkane
no. 0688343697. Nimeaambiwa nisubiri baada ya miezi 6.
Sent from my SM-N915F using JamiiForums mobile app
Kipo wilaya gani na namba yako ya simuTanesco mkoani kilimanjaro ni lini mtatuletea umeme wakazi wa kijiji cha shabaha kata ya mabogini ni karibu miaka mitatu sasa tunapigwa dana dana tu kijiji kina wakazi zaidi ya elfu moja.
Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Mpendwa mteja wetu tunakuomba uelekeze lalamiko lako kwa Meneja Muandamizi Rasilimali Watu,TANESCO Makao Makuu,S.L.P 9024 kwa kuonyesha kwa kina unacholalamikia, aina ya upendeleo unaosema,waliopendelewa, Mkoa, Wilaya na nafasi ambazo unazilalamikia.Ajira mnapeana kwa kujuana hasa hasa kwenye idara ya uhasibu
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Tutaangalia matumizi yako na kukushauriNipo Morogoro
MSAADA: Nimehamia nyumba ambayo inajitegemea mita, lakini kwa 5000 napata units 13 tu, kama naweza pata msaada wa kuirudisha mita yangu kwenye matumizi ya kawaida, maana matumizi yangu ni madogo sana kwa mwezi,. number yangu ya mita 22132674049
Umelipia kwa jina gani na namba yako ya simu tafadhaliHivi TANESCO mko serious kweli? MTU nimelipia kuwekewa since January sasa miezi saba hakuna kinachoendelea. Sio vizuri kabisa MNABOA SANA. Niko KWEMBE-MBEZI DSM
Wilaya moshi vijijini. namba nitakupa pmKipo wilaya gani na namba yako ya simu
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Wilaya moshi vijijini. namba nitakupa pm
Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Joyce S. Ndongole 0716498050
Umelipia kwa jina gani na namba yako ya simu tafadhali
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Umelipia kwa jina gani na namba yako ya simu tafadhali
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app