TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,600
- 2,134
- Thread starter
-
- #6,761
TUMEPOKEA TAARIFA KWA HATUA ZAIDI MPENDWA MTEJA WETUHabari za muda huu, Nyumbani kwangu kuna tatizo la umeme ambalo linasababishwa na loose juu ya nguzo ikifikia kipindi km hichi cha mvua huwa napata tabu sana ya kukatika kwa umeme mara kwa mara, mara ya kwanza nilitoa taarifa halikufanyiwa kazi sasa hivi nna siku ya tatu hakuna umeme unapofika katika mita yng, nilipiga simu emergency usiku kucha simu haipokelewi yaani hadi hapo sijaona umuhimu wa emergency calls ila sasa hali imezidi kuwa mbaya mita inarudisha umeme halafu inakata ht mara 10 siku nzima sasa sijui tanesco mnataka nitumie njia ipi sahihi ili niweze kupata huduma na kunusuru hali hii ya umeme kwangu taarifa nimetoa tangu jana baada ya kuona simu hazipokelewi nimeambatanisha na namba waliyonipa ofisini namba zangu za simu ni 0714434257 naishi kigogo mkwajuni View attachment 1243453