Habari Tanesco napenda kuwataarifu kuwa meneja wa wilaya tanesco Ruangwa ni kishoka wa kutupwa wananchi tumeshamchoka kwa tabia yake tafadhali chukueni hatua msipofanya ivo itabidi tuende ngazi za juu zaidi kwanza hapatani na wafanyakazi wake fanyeni uchunguzi wenu mtapata majibu
 
Ndugu Mpendwa Mteja
Tunaomba utupatie taarufa zifuatazo
Namba yako ya simu
Tuhuma zako dhidi ya Menaja tajwa hapo juu
kama unaushahid wowote unabeba tuhuma zako

Unaweza kutuma inbox ili kulinda taarifa zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mm mwenyewe nimeshapata tatizo kama lako japo nilikuwa kwenye nyumba ya kupanga. Tulitajiwa deni kwamba tulilibeba kabla ya kufungiwa luku.

Tulipoenda na risiti zote wakatusumbua kwa takribani wiki mbili eti network hakuna na wakati huo huo biashara yangu hapo ilikuwa inategemea umeme, baada ya usumbufu nliapa kufika hata kwa waziri.
Hilo suala la kuwekewa madeni kwa staili hiyo lipo sana tanesco.

Wewe mtu wa tanesco humu ndani kama upo serious unataka kutatua matatizo yetu jua hilo tatizo la kubambikiwa madeni na tanesco wakijua kwamba risiti zikikosekana litakuwa deni halisi lipo na ni kubwa sana coz wakati nafuatilia watu wengi walikuwa na same case.

So km its better mkarekebisha hilo mapema kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba namba yako ya mita kukupatie maelezo ya chanzo cha deni lako, Aitha kumekuwa na changamito ya nyumba za kupanga amabopo watu wenhi hukuta madeni yakiyoachwa na baadaye huwalaumu TANESCO na kuyakataa kabisa, tunaomba wateja wetu mjenge tabia ya kuwasiliana na sisi na kutupatia mita zenu tuziangalie kabla ya kuhamia au kununua nyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco mkoani kilimanjaro ni lini mtatuletea umeme wakazi wa kijiji cha shabaha kata ya mabogini ni karibu miaka mitatu sasa tunapewa ahadi hewa tu viongozi wa siasa. naimani waweza kuwa na taarifa za eneo hilo. ni wilaya ya moshi vijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco Naomba kuwauliza MTU akilipia umeme(hauhitaji nguzo) inachukua muda gani mpaka kufungiwa umeme?
 
Miradi bado inaedlea mpendwa mteja ikifika zamu ya eneo lako utapatiwa umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco Naomba kuwauliza MTU akilipia umeme(hauhitaji nguzo) inachukua muda gani mpaka kufungiwa umeme?
Ndani ya siku 30 za kazi, kama kutakuwa na siku zimeongezeka tunakujulisha.

Je tunaweza kupata taarifa zako za awali ulizoombea umeme ikiwa jina, mkoa na wilaya yako tafadhali.

Tunaomba radhi kwa usumbufu uliopata

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Kuna hz mita mpya mumeweka zinasumbua sn..kwa mfano kuna mita amewekewa bmkubwa(mita hizi mpya) ambapo kila ikifika saa 1 kasoro usiku,umeme unakatika.

kwake tuu na kwa wengne wenye mita km hizo.saa moja kasoro umeme hawapati mpk usiku sana.tumeongea na tanesco wa karibu pale.wakadai ni tatizo la transformer..hivo ikifika mwezi wa 6(ushapita) wangekuwa washabadilisha.

lkn mpk leo hii mambo ni yale yale.usiku ni giza.mchana ndio umeme unakuwepo.maeneo hayo ni mbagala misheni DAR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaweza kupata namba yako mkuu

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
ni kweli kabisa, na sehemu unayowaka utaskia wanaasema wanatumia line ya jeshi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…