Mkuu mm mwenyewe nimeshapata tatizo kama lako japo nilikuwa kwenye nyumba ya kupanga. Tulitajiwa deni kwamba tulilibeba kabla ya kufungiwa luku. Tulipoenda na risiti zote wakatusumbua kwa takribani wiki mbili eti network hakuna na wakati huo huo biashara yangu hapo ilikuwa inategemea umeme, baada ya usumbufu nliapa kufika hata kwa waziri.
Hilo suala la kuwekewa madeni kwa staili hiyo lipo sana tanesco.
Wewe mtu wa tanesco humu ndani kama upo serious unataka kutatua matatizo yetu jua hilo tatizo la kubambikiwa madeni na tanesco wakijua kwamba risiti zikikosekana litakuwa deni halisi lipo na ni kubwa sana coz wakati nafuatilia watu wengi walikuwa na same case. So km its better mkarekebisha hilo mapema kabisa
Sent using
Jamii Forums mobile app