Tunaomba namba yako ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidiNAOMBA KUWAULIZA TANESCO
MLIKUWA NA NIA YA KUTWAAA ARDHI ENEO LA MSALATO DODOMA KWA AJILI YA KUJENGA SUB-STATION NA TADHMINI ILISHAFANYIKA MWAKA JANA LAKINI HADI SASA MPO KIMYA NA WANANCHI WENYE MAENEO WANALALAMIKA.
MASWALI
1. JE NIA YA KUTWAA ARDHI HUSIKA BADO IPO?
2. KAMA IPO, KWA NINI MPO KIMYA HADI SASA?
3. JE HAMUONI YA KUWA UKIMYA WENU UNAWEZA KUIBUA SINTOFAHAMU KATI YA TANESCO NA WANANCH
AHSANTENI.
Kwenu wapi?Huku kwetu nina miaka miwili Sijawahi kuona umeme ukikatika zaidi ya dkk tano
Huku kwetu nina miaka miwili Sijawahi kuona umeme ukikatika zaidi ya dkk tano
Weee jamaa ulinisababia BAN siku 3 nyuma Yani una Mambo ya kiboya sana kila kitu unatetea hata Kuna uozo unafanyika unakera sana
Kwenu wapi?
Boya tu wewe kubwa jingaPole sana Mkuu kwa ban,uwe na heshima kwa wakubwa zako
Huku kwetu nina miaka miwili Sijawahi kuona umeme ukikatika zaidi ya dkk tano
Kwetu huwa haukatiki zaidi ya dakika 10
Tunafurahia matunda ya awamu ya tano kuhudumia wanyonge Mkuu
Mwenyewe nahisi nitakula ban muda sio mrefu huyu mwanamke ni matayo sanaWeee jamaa ulinisababia BAN siku 3 nyuma Yani una Mambo ya kiboya sana kila kitu unatetea hata Kuna uozo unafanyika unakera sana
Nashukuru sana na umenijibu vizuri sana na nimekuelewa ndugu Tanesco, je km hilo eneo halimo kwenye mradi na Tanesco\REA hawana mpango wa kunifikishia umeme kwenye eneo hilo linalo hitaji nguzo 11 , na tayari umeniambia kuwa ikizid nguzo mbili huo unajulikana km mradi nifanyeje ili nipatiwe huduma ya umeme?Ikishazidi nguzo mbili inakuwa mradi hivyo haiupaswi kulipia bali kusubiri huduma ya umeme ikaribie eneo lako kupitia miradi yetu