Hakika ni jambo la kushangaza na kustaajabisha kuona umeme ukikatika/kukatwa mara mara pasipo taarifa zozote za awali.
Hivi nyinyi TANESCO mnafeli wapi hasa,je kuna mgao wa UMEME wa kimyakimya siku hizi.Maana limekuwa jambo la kwawaida sana siku hizi kushndisha watu kwenye GIZA pasipo sababu zozote zile za msingi.
Nadhani ni wakati sasa muwajibike kwa huu uzembe ambao mmekuwa mkituonyesha,kwa mfano jioni mmekata UMEME karibia KIMARA nzima,lengo lenu hasa nini?.
Kwa mwendo huu kweli viwanda na TANZANIA ya viwanda tutaifanikisha kweli?.
Hebu muwe serious na makini kati utendaji wenu,msitufanye WaTanzania wajinga kwa kukata UMEME bila TAARIFA na pale mnapojisikia ili hali watu wanabishara,viwanda na shughuli zinazotegemea UMEME kwa kiasi kikubwa.