Tangu xmas mwaka jana sina umeme...nmewafuata mpaka ofisin na documents mkasema et akaunt moja tunatumia watu wawili....nkaambiwa baada ya siku 2 mita itafunguliwa

Siku ya tatu leo kimya...!!mnatutakia nini lakini nyie??

Mita nov43021829478

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hilo suala kuwa "awatume watu kutoka dar waje kuonana na wewe kwa ajili ya suala hilo"

dalili za kichwa uanza pole pole
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama upo ndani ya mita mita 30 utajengewa ndani ya siku 30 za kazi ukitoa sikukuu na wikiendi na kama ni ndani ya mita 30 hadi 70 utajengewa ndani ya siku 60 za kazi ukitoa sikukuu na wikiendi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nini sababu ya tofauti hii ya muda wa kusubiri hata kama tumelipia siku moja?
 
Tanesco Token ya LUKU nimenunu kwa Njia ya M-Pesa, ninapoja kwenye Remote ya Mita hazisomi kabisa.
Token No: 32299143136337163220
Namba ya Mita 54183997508
 
Tanesco nimerudi tena mwaka wa 2019 nao umepinduka sasa tuko 2020 , naomba kuwakumbusha tena juu ya ahadi yenu ya kushughulikia suala la kutupatia umeme wa REA maana ni karibia miaka mitatu imepita nahaidiwa kuwa tutapatiwa umeme wa REA hivyo natumai huu ndo mwaka wa mwisho kupewa ahadi bali mnakuja kutekeleza mwaka huu. Nitafurahi kusikia kutoka kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manager Tanesco Kanda ya Kilimanjaro naona kazi imekushinda sana.Line ya umeme katika Kijiji cha Lyamungo sinde ipo chini kiasi ambacho hata mtoto wa chekechea anaweza kugusa nyaya hizo akiwa amesimama.Sijajua tatizo ni nn kwani hadi leo kuna nguzo zimelala takribani miaka 4 bila marekebisho yeyote yale.Mnatia aibu mno na kinachofuata ni kuwasiliana na Waziri mwenye dhamana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule Kata ya karansi iliyopo wilaya ya siha ni siku ya tano Sasa hakuna umeme kata nzima na hakuna sababu ya msingi iliyojulikana hadi Sasa.wananchi wanateseka tu na huduma zakijamii zimesimama bila maelezo kutoka Tanesco.
Ni shida kubwa.
 
TANESCO kama mmefanya mabadiriko kiutendaji basi hongera sana kwa menejimenti yote kutoka juu.
Ndugu yangu alilipia umeme tarehe 26.12.2019 shs 560kl kwa ajili ya nguzo moja na kuunganishiwa.

Kutokana na taarifa zenu ilipaswa afungiwe umeme mwezi wa pili katikati ila juzi kafungiwa ikiwa ni ndani ya mwezi mmoja.

Kutokana na comments nyingi humu jamvini zikionyesha malalamiko kwake hii anasema ni MUUJIZA 😲.

Hongera kwa mh. JPM kuondoa vurugu mechi na timbwili zilizokuwepo huko nyuma.
 
TANESCO kuna tatizo katika Kijiji cha mang'ula wilaya ya kilombero.morogoro umeme hukatika gafla kwa bahadhi ya mita kisha kurudi baada ya dakika moja kwa zaidi ya mara 7 hadi 10 kwa siku
 
Hivi nianzie kwa balozi, Police, wakili au nirudi kutoa tena taarifa dawati la dharula kwani huu ni mwezi wa tatu familia nne tumeripoti na hakuna hatua iliyochukuliwa na mvua hizi nguzo ndio inazidi kulala na inatishia uhai na mali zetu, nyumba nayo inazidi kupasuka ...ndugu zanguni naomba ushauri muafaka nanyie Tanesco mnapenda kuwa kijiweni au mnatubeep wateja wenu?
 

Attachments

  • 1579778534776-1151993000.jpg
    230.7 KB · Views: 2
  • 1579778593815301964766.jpg
    163.1 KB · Views: 2
  • 15797786849281192345020.jpg
    113 KB · Views: 2
TANESCO nini shida? imekuwa kama mchezo wa kuigiza sasa,hujafanya kile,umeme umezimika hujafanya kile,umeme umezimika ni nini tatizo?Kama kuna shida genuine tuambieni basi,sisi ni wananchi wenzenu, tutawaelewa,mkikaa kimya na huku mnatu-bore na kutukwamisha katika mambo yetu hatuwaelewi,be serious guys.

Sasa hivi ninapo-post hii post umeme hakuna.Au ni yale yale ya kujaribu kumfanya mkulu aonekane si chochote si lolote in style?Mkitumbuliwa tunaomba msilalamike jamani.It's too much.Wengine tume invest hela kwenye miradi ya umeme,sasa hii on and off inatufanya tusifaidi investments zetu.Kama mambo ni hivi sasa,sijui SGR ikija itakuaje.

Lastly,nimepeleka ombi la kuwekewa luku kwenye nyumba ya mpangaji wangu tangu mwaka wa jana June 2019,na mpaka leo almost Februari 2020, sijapata huduma.Halafu hata mawasiliano kuwa tatizo ni nini hakuna.Nimejaribu kuwasiliana na Meneja na hata ile ofisi ambayo niliambiwa nipeleke form yangu ya maombi ya huduma but all in vain.Sijui shida ni nini.
 
Kule Kata ya karansi iliyopo wilaya ya siha ni siku ya tano Sasa hakuna umeme kata nzima na hakuna sababu ya msingi iliyojulikana hadi Sasa.wananchi wanateseka tu na huduma zakijamii zimesimama bila maelezo kutoka Tanesco.
Ni shida kubwa.
TANESCO ni kero jamani,mm.
 
Asante kwa namba,ila hazitusaidii sana.Hao jamaa wakishajua kwamba una grievance outstanding hawapokei simu yako,shida tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…