Tumebiresha sana mpendwa mteja wetu ndio maana kuna njia mbadala kama hizi ungetaja namba ya mita namba ya simu na tatizi pia huku tungekuhudumia.Tupo kukusiliza na kukuhudumia mpendwa mteja wetuBoresheni Kitengo Cha Huduma Kwa Wateja Hasa Kwa Wanaotumia Simu kuwasiliana Na nyie.
Mfano. Nilipata shida sana kuwapata h
Kwa wakati. Nilipowapata shida yangu ilikua nikupewa change pin ya mita, hivi kweli group la namba zaidi ya 20 unamsomea mtu kwenye simu? Sawa nikaziandika kujaza zimekosewa, Kupiga tena natakiwa nizitaje tena namba za mita na nilizotajiwa, kweli jamani. Hamuwezi kuzituma kwa text tuu na some tym hiyo huduma si inaweza kumaliza na software za computer tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bwana TANESCO mimi nawe tutafikishana taratibu.Hayo mazungumzo yetu hapo juu ilikuwa jnne,ukasema ni hitilafu na mmeitatua.Ndugu mpendwa mteja wetu tulipata hitilafu na kufanikiwa kuitatua kama bado unapata changamoto tafadhali tusaidie namba ya simu na eneo ulilopo kwa hatua zaidi
TANESCO HUDUMA KWA WATEJA
MAKAO MAKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama mteja unaweza kupendwa kusomewa uandike au kutumiwa hakuna kizuizi katika hilo.Tunashukuru kwa taarifa yakoBoresheni Kitengo Cha Huduma Kwa Wateja Hasa Kwa Wanaotumia Simu kuwasiliana Na nyie.
Mfano. Nilipata shida sana kuwapata h
Kwa wakati. Nilipowapata shida yangu ilikua nikupewa change pin ya mita, hivi kweli group la namba zaidi ya 20 unamsomea mtu kwenye simu? Sawa nikaziandika kujaza zimekosewa, Kupiga tena natakiwa nizitaje tena namba za mita na nilizotajiwa, kweli jamani. Hamuwezi kuzituma kwa text tuu na some tym hiyo huduma si inaweza kumaliza na software za computer tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
0784768586 piga hapoMsaada namba ya emergency tanesco tabata segerea
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tabata EmergencyMsaada namba ya emergency tanesco tabata segerea
Sent from my iPhone using JamiiForums
Je ni eneo kubwa au wewe mwenyewe? Tafadhali tusaidie namba yako ya simu na eneo ulilopo kwa hatua zaidiTANESCO naomba namba ya Mkurugenzi wa Tanesco au Waziri Kalimani, tumechoka na huduma zenu mbovu! Haiwezekani siku 4 tabata liwiti hamna umeme! Ripoti zimetolewa mara kibao lakin mafundi wanakuja kugesha vitu vyao baada ya masaa mawili umeme umekata! Sasa naomba namba za viongozi wenu tulireport ili swala.