E eneo lako, wilaya na mkoa wako. Pia tutashukuru kupata namba ya simu yako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Taa za Energy Saver Ni za Watt? 2.Friji ndogo Ni Watt ngapi na hiyo TV Ni Watt ngapi ili tucheki kimahesabu Kama hizo Unit hazifiki.Naomba mawazo yenu kwa tatizo hili: natumia unit 8 kutwa.
Nina frigdge moja ndogo, taa energy saver kama 5 zinawaka saa 12 a day, tv mbili zinatumika kama saa 5 a day, . Nadhani unit 8 a day huu ni umeme mwingi ninao tumia.
Tatizo linaweza likawa wapi? Nimeleta fundi akacheki wiring akasema iko vizuri.
Ushauri tafadhali.
Asante
Eneo gani haswa Kimara na namba yako ya simu tafadhaliTANESCO umeme unakatika sana kwa siku zaidi ya mara tatu Kimara mwisho line ya Mavurunza.
Vitu vyetu vinaharibika sababu ya huku kukatikakatika.Siku mbili hizi jana na leo hali imekuwa serious sana.
Tatizo nini?
Narudia tena,ni Kimara mwisho line ya Mavurunza kuanzia Ubungo mpaka Kimara Matangini umeme unasumbua kwa kukatika hovyo mara nyingi kwa siku.