Naona Arusha washarudisha
Wakuu wamekata tz nzima na kurudisha kuna nini??Wamerudisha mwanza...kwenu vipi?
Lini mlikuwa kwenye mwanga nyie?Mtwara mjini pia tuko gizani, Wamezima muda huu
Msemaji Mkuu shirika la TANESCOKuna sababu za msingi za wao kufanya hayo yao. Hawazimi tu umeme kwasababu wanaweza kuzima.
Kuna sababu za msingi za wao kufanya hayo yao. Hawazimi tu umeme kwasababu wanaweza kuzima.
Wakuu wamekata tz nzima na kurudisha kuna nini??
Au marekani CIA Walikuwa na operation yao?
Tushirikishe tu akili mkuu wala tusiwe na mihemko.Msemaji Mkuu shirika la TANESCO
Dah basi itakuwa Tz nzima hata mwanza huku wamezima...
Vipi nani kwao kuna umeme?
Dah acha hizo basi. Wewe sio wakunifanyia hivi.Alisikika jamaa mmoja kutoka TANESCO
Dodoma HaujakatikaWakuu wamekata tz nzima na kurudisha kuna nini??
Au marekani CIA Walikuwa na operation yao?
Kimboka ?[emoji23]
Kabisa Mkuu kila wakikata wanakua na Sababu za Msingi Sana [emoji16][emoji16]Tushirikishe tu akili mkuu wala tusiwe na mihemko.
Dah acha hizo basi. Wewe sio wakunifanyia hivi.