Asa si ndio maeneo yako huko πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapana sio maeneo yangu ila nimewaza tu ikiwa Tanesco wanajiendesha kibiashara je watafaidika nini ikiwa watazima umeme kwa makusudi.

Kumbuka kuwa mapato makubwa yanategemewa kutoka kwenye mauzo ya umeme (LUKU n.k) na umeme ukizimwa maana yake watu hawatumii LUKU hivyo mapato yanapungua (hasara).

Kwa mantiki hiyo basi ndio nikajiambia tu lazima kuna sababu ya lazima ya wao kuzima feeder ili labda kufanya maintenance ya miundombinu.
 

Naelewa chaliifrancisco ...najua wakikata ipo sababu ya wao kufanya hivyo

Nilikua nakutania hapo juu
 
Leo nimekwenda ofisi za Tanesco Kama walivyonitaka nifike mm mwenyewe kwa ajili ya kuchukua Fomu za kuomba kuunganishiwa umeme.

Nawapongeza kwa ukaribisho mzuri na nimepata huduma kwa kiwango Bora kabisa na nimezirejesha leo hii hii.

Nimepewa muda wa wiki 3 ndipo watanifikia kwa hatua zaidi .nashukuru nipo mwenye kusubiri.
 
Hello TANESCO!
Hizi wiki mbili umeme umekua ukikatika katika sana Tanga mjini, nini shida!? Ni usumbufu kwa kweli!!
Nimekuja kuandika huku kwa kuwa siku za karibuni custoner care wamekua hawapokei au namba zao kuwa busy wakati wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi uwekewe umeme kwa wakati dsm rushwa lazima. These guys ain't want to change
 
Nilic Ninachokiona Manispaa za Mji huu zinatofautiana sana, kiutendaji nk
 
Naomba kujua hivi meter za Zanzibar na bara zina tofauti? Maana naona kuna mdau hapo anasema amenunua umeme wa tsh 9300 amepata unit 75 wakat mm napatqa unit 25 tu huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M
Tupe uzoefu au utofauti na maeneo mengine tujifunze na tuwafunze watendaji wagumu.
Uzoefu Mkuu nenda tanesco Manispaa X utaambiwa mita hazijafika. Toa pesa uone kama hujapigiwa simu ukawekewe. Nawaomba mameneja wajue hilo. Tuna ilala,temeke,kigamboni,ubungo na kinondoni, kinondoni inanafuu. . Wenye ushuhuda watakuja hapa.

Wewe nenda, fanya process subiri, utasubiri weeeeeee.

Lkn nenda fanya process, chukua namba ya mjamaa mpigie onana nae mpe chochote. Umeme unawekewa within no time. Hawa ndio watendaji wetu.

Takukuru jikiteni hapo mkamate watu
 
Habari ya usiku huu wadau, samahan mimi nina shida umeme kwangu umekata alafu kwenye mita imeandika error-1 samahan kwa yoyote anaejua jisi ya ku unlock anisaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…