mi naomba kujua mchanganuo wa kupata nguzo,naona kila nnayemuuliza anatoa majibu yake,sasa nakuwa sielewi!

kutoka nguzo moja hadi nyingine zinatakiwa ziwe mita ngap? na je ni IPI gharama halisi ya umbali kutoka nguzo moja na nyingine?

kuna punguzo lolote mtu anapohitaji nguzo zaidi ya moja?

Mim Mwasu,nipo mbeya.
 
Mijini ndani ya mita 30 ni tsh 320960
-Nguzo moja ndan ya mita 70 ni 515618
-Nguzo 2 ndani ya mita 120 ni 696670 zote Vat inclusive


3phase
-Ndani ya 30 mita ni tsh 912014
-nguzo moja ndani ya mita 70 ni tsh 1,249,385
-ndani ya mita 120 nguzo 2 ni 1,639,156

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mijini ndani ya mita 30 ni tsh 320960
-Nguzo moja ndan ya mita 70 ni 515618
-Nguzo 2 ndani ya mita 120 ni 696670 zote Vat inclusive


3phase
-Ndani ya 30 mita ni tsh 912014
-nguzo moja ndani ya mita 70 ni tsh 1,249,385
-ndani ya mita 120 nguzo 2 ni 1,639,156

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu Mazaya walikuhudumia hawa watu..? kama hawakuhudumia tujulishe tafadhali tupeane wayforward ikiwezekana tuwashtaki kwa EWURA na wakulipe fidia kwa kuchukua pesa yako na kutokukupatia huduma kwa wakati.
 
Reactions: ADK


TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Tupo kwenye kampeni ya kuwatembelea wateja wetu wa mkoa wa TANESCO Temeke pamoja na wilaya zake za Mbagala, Kigamboni na Yombo

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 



Je ungependa baada ya hapa TANESCO tuje wapi??

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Tupo kwenye kampeni ya kuwatembelea wateja wetu wa mkoa wa TANESCO Temeke pamoja na wilaya zake za Mbagala, Kigamboni na Yombo

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
kuna sehem inaitwa lugwadu ipo kigamboni nyuma ya mwembe mtemvu inakua wilaya ya mkuranga kwa sasa huko vp maana hakuna umeme na ahadi ilikua toma mwezi wa tatu mwaka huu itakua tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimenunua luku leo lkn mpaka sasa sijapata token

kiasi: 5000
tarehe 12/08/17
muda: around 3:40 usiku
namba: 0687237985
meter: 04221530142
jina : TUMBO SHABANI
trans id :MB170812.2120.B76057

tangu usiku nipo gizani... natanguliza shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunafuatilia

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Weka hizi
0330 6421 0123 7626 2826

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…