lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Nawashukuru kwa kunijibu na kunipa maelekezo .Tunashukuru kwa taarifa mpendwa mteja wetu
Je umeshapatiwa huduma? Kama bado tusaidie namba yako ya simu
Kuhusu kutakiwa ufike mwenyewe huu ndio utaratibu nchi nzima kwani mteja anapoenda mara ya kwanza mwenye inatusaidia kupata taarifa zake kamili pia inasaidia kuzuia watu wasiowaaminifu kulaghai wateja ( yametokea mara kadhaa) hivyo mteja anawajibika kufika ofisini mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunashukuru jwa taarifa tunaifatiliaNawashukuru kwa kunijibu na kunipa maelekezo .
Bado sijapata huduma leo hii nimepiga simu na bado jibu lilikuwa lile lile
No yangu ni 0754 695296
Mwaka jana, niliuliza kuhusu TANESCO SHINYANGA, kutufutia ile nafuu ya bei nafuu ya umeme kwa watumiaji wanaotumia si zaidi ya uniti 75 kwa mwezi. Pamoja na kuwa hiyo nafuu, inatolewa na serikali nchi nzima.
Ahsante Sana .
Wamekata tena jioni hiiHuku Mwanza kila jioni wanakata umeme sijui wanakwama wapi
Huku korona huku giza [emoji13][emoji3] pole mwayaTanesco Mwanza kuna tatizo gani, kila siku kuanzia jioni umeme lazima ukatike na hakuna taarifa yoyote mnayotoa
Sent using Jamii Forums mobile app
ArushaSehemu gani huko kuna giza ndugu mteja
TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
Ni Arusha kata ya sombetini,transfoma iliyopo karibu na shule ya sombetini,mi nashauri kuanzia meneja wa tanesco arusha mpka hao wasaidizi wake wapigwe tu chini pia hii ilichukua masaa 24+kurudisha umeme,leo ni tarehe 18/3 tangia saa tisa umeme hamna umerudi saa mbili ukakaa kama dk 5 ukakatika tena ndo ntolee