TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Tunashukuru kwa taarifa mpendwa mteja wetu

Je umeshapatiwa huduma? Kama bado tusaidie namba yako ya simu

Kuhusu kutakiwa ufike mwenyewe huu ndio utaratibu nchi nzima kwani mteja anapoenda mara ya kwanza mwenye inatusaidia kupata taarifa zake kamili pia inasaidia kuzuia watu wasiowaaminifu kulaghai wateja ( yametokea mara kadhaa) hivyo mteja anawajibika kufika ofisini mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawashukuru kwa kunijibu na kunipa maelekezo .

Bado sijapata huduma leo hii nimepiga simu na bado jibu lilikuwa lile lile

No yangu ni 0754 695296
 
Tunashukuru jwa taarifa tunaifatilia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka jana, niliuliza kuhusu TANESCO SHINYANGA, kutufutia ile nafuu ya bei nafuu ya umeme kwa watumiaji wanaotumia si zaidi ya uniti 75 kwa mwezi. Pamoja na kuwa hiyo nafuu, inatolewa na serikali nchi nzima.
Mkanishauri niende ofisini TANESCO ambao walidai wameitoa hiyo nafuu, na kututaka watumiaji tuandike maombi upya. Nilifanya hivyo, na walipoangalia matumizi yangu, yalionyesha kwa miezii sita iliyopita, hakuna mwezi niliotumia kufikisha uniti 40 kwa mwezi.
Hiyo ilikuwa August Mwaka jana! Na nimefuatilia, ni watu wengi wenye sifa, walijaza fomu siku nyingi, lakini hawajashughurikiwa. Sasa, kama serikali iliamua hivyo, na ninyi mnaenda kinyume, tafsiri yake si ni kuwa mnatuibia? Na wala hii si hisani kutoka kwenu.
Nasubiri jibu na utekelezaji, ili nijue hatua nyingine ya kuifuata!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimetuma maombi ya kubadirishwa kwenda kwenye Zero tariff kupitia App yenu lakini imekuwa kimya sijapata majibu yoyote kutoka kwenu. Mwanzo nilikuwa kwenye matumizi ya Zero tariff lakini mita ikaaribika sasa toka nimepewa mpya hii huduma sijaipata kabisa. Namba ya mita ya zamani ni 01319958011,. Namba ya mita mpya Ni 43021919931 , Eneo Mwanza Ilemela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tanesco mnashindwa nn suala la LUKU kufanya km vocha kwamba ukishanunua unaingiza tu kwenye simu moja kwa moja. Nyie ukinunua luku uende tena ukaingize kwenye limita lenu, kwanini isiwe ukinunua inaingia yenywe automatically wakati namba ni ile ile?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuanzia saa saba mchana hadi sasa hivi Morogoro Kihonda yote umeme hakuna na vilevile Tanesco hawakutoa taarifa ya umeme kukatika.

Fikiria mwenye salon na viwanda ameshapata loss kiasi gani,haya wale wa kuweka samaki,nyama na maziwa vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha kufikiwa awamu hii ya kuua wapinzani wawe wa upinzani au ndani ya CCM
 
Ni eneo gani wilaya na namba yako ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Arusha kata ya sombetini,transfoma iliyopo karibu na shule ya sombetini,mi nashauri kuanzia meneja wa tanesco arusha mpka hao wasaidizi wake wapigwe tu chini pia hii ilichukua masaa 24+kurudisha umeme,leo ni tarehe 18/3 tangia saa tisa umeme hamna umerudi saa mbili ukakaa kama dk 5 ukakatika tena ndo ntolee
 
Back
Top Bottom