Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 643
- 1,016
Applications Number yangu 531520- 01318.Mm nataka umeme kwenye nyumba yangu, Kabuku Tanga, eneo la ki Tanesco ni Korogwe.majibu ya ya nguzo tatu ni mradi kwahiyo nisubiri bila kujua nasubiri mpaka lini hayaniridhishi. Nataka Muh Medard Kalemani anijibu nasubiri kwa mda gani, kunashida gani kwa Tanesco kupata nguzo 3 za kuniwekea umeme? Wakati jirani yangu anaumeme? Ndani ya mita 60 tu?my cont 0625543419.
Umelipa kwa jina gani? Wilaya gani namba ya simu na kiasi gani tafadhaliMwezi sasa nimelipia kila kitu kimeenda sawa ila had leo hamkuja kuniwekea umeme mnasem vifaa hamna why??
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina Godfrey H. Baitwa nyumba ipo mbagara charambe kwa mbiku wilaya TemekeUmelipa kwa jina gani? Wilaya gani namba ya simu na kiasi gani tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitongoji cha Viziko kijiji cha Kikongo ni moja kati ya maeneo ambayo hayakunufaika na Mradi wa Peri UrbanNimeenda jana ofisi za ya kata ya Kikongo baada ya kuona nguzo zimemwagwa nyingi sana huku mafundi wakisimika nguzo na kufanya wiring kwa kasi! Niliongea na mwenyekiti akapokea hiyo changamoto akaahidi kwamba atanijibu baada ya kuwaona wahusika!
Napatikana kwa simu 0629594321
Onyesha namba ya simu tafadhaliJina Godfrey H. Baitwa nyumba ipo mbagara charambe kwa mbiku wilaya Temeke
Sent using Jamii Forums mobile app
AHSANTE KWA TAARIFA TUNAIFANYIA KAZIApplications Number yangu 531520- 01318.
Tarehe: 27/03/2020Jina Godfrey H. Baitwa nyumba ipo mbagara charambe kwa mbiku wilaya Temeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupotosha jamii, alichokiandika ndicho kinachotokea ktk jamii.Acha kupotosha jamii tafadhali huduma zetu hazihitaji hayo unayodai
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndio unnecessary contradictions katika utekelezaji wa miradi!Kitongoji cha Viziko kijiji cha Kikongo ni moja kati ya maeneo ambayo hayakunufaika na Mradi wa Peri Urban
Kikongo ni moja kati ya vijiji vilivyo nufaika na Mradi wa Peri Urban unaoendelea kufanyika na mkandarasi ameshawasha transfoma 3 Kitongoji cha Mwanabwito (shule, masikitini na kiembaemba)
Hivyo tunaomba wananchi wa Viziko waendelee kuwa wavumilivu wakati tukisubiri Mradi mwingine wa REA kwa mwaka wa fedha 2020/2021.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa taarifa tunazifanyia kaziMm nimteja nimechoka na ahadi za tanesco mbezi ya kimala tangu mwezi wa tatu mpaka leo nikuambiwa mafundi wanakuja ila sasa nimechoka wafuate mita yao waliacha kwa mjumbe wa serikali za mtaa ntafunga solar tu
TB 4394 ya mwezi watatu kimala bonyokwa vinane
Nimefuatiria tanesco kimala nimechoka cm nimepiga mpaka nimekata tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna shauku nataka nijiridhishe! Naomba mnipatie namba ya waziri wa nishati!Hizi ndio unnecessary contradictions katika utekelezaji wa miradi!
Report itaandikwa kuwa Kikongo tayari iliishapatiwa umeme through mradi wa Peri Urban!Hii itamaanisha kuwa hata vitongoji vyake vyote vimenufaika na huo mradi! Hivi kweli ni nguzo ngapi zilizobaki in order to cover kitongoji kimoja tu cha VIZIKO kiasi cha kusubiri mpaka Next budget??
Majibu kama haya ni mepesi kwa maswali magumu maana limeanzia baada ya kumiss kusurvey!
Hapa wananchi wa VIZIKO hatujaridhishwa na hili la contradicting answer!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliniomba taarifa nikawatumia sasa inaelekea miezi 2 na nilishaenda mara kwa mara tanesco ya rangi 3 naambiwa vifaa havijakuja kutoka kurasini. Je, mpaka lini naomba majibu Tanesco
Kama mimi nipo dar...mbagara na makao makuu ata kilomita 20 hazifiki je, mteja wa sumbawanga au kigoma, musoma au bukoba inakuwaje?????????Umelipa kwa jina gani? Wilaya gani namba ya simu na kiasi gani tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nadhani mgenipa namba ya meneja kituo cha mbezi ya kimala haiwezekani miezi mitatu kila cku wanasema wanakuja niko giza na mita walitoa wao kuna uzembe mpaka inakela tanesco mnakwamishwa na watu wachache sana TB 4394 ya mwezi wa tatu naombeni namba ya meneja hapo tafadhari