Habari za kazi naomba kujua gharama za kuwekewa 3 phase, umbali kati ya nguzo na nyumba nakadiria ni kama mita au 7 hivi
 
Tanesco mimi nina wazo constructive sana, nahitaji niwe recruited kama staff wenu ili nilifanyie Implementation Niko upande wa Technical nimejaribu kuandika email kwa top management bila response yoyote.
 
Nataka niwe na nunulia watu umeme kwa mashine je ni taratibu zipi zifanyike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mita zinazokaa kwenye nguzo ya umeme eti ni kweli Zina gprs ukipita chini unaonekana?
 
Habari Tanesco! Mimi nakaa Sakina Kwa Idd tumekuwa na tatizo la umeme kwa miaka zaidi ya miaka 17. Tatizo ni hilo hilo kila wakati transformer ya kama unaenda shule ya Trust ukipitia njia hii ya Kilimanjaro School ninavyo andika hivi hakuna umeme sasa najiuliza hakuna mafundi kwanini hakuna suluhisho la tatizo hili miaka yote hiyo. Hebu tatueni hili tatizo once and for all.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Onyesha namba ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante leo mchana nimepata huduma nimefanikiwa kuwekewa umeme.

Asante page yenu imenisaidia kuliko ofisini. Asante sana TANESCO, TANESCO. Pia nawapongeza na utaratibu huu endeleeni kuwasaidia watejawenu kama ulivyo nisaidia mimi. Kwa pamoja tutainua uchumi. Mungu ibariki TANESCO mungu ibariki Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO MTWARA VIJIJINI LINE YA MPAPURA KITERE SIKU YA TATU LEO UMEME UNAWAKS KWA MASAA HALAFU HAUNA NGUVU HATA YA KUCHAJI SIMU.
TUNAOMBA CHANGAMOTO KAMA HIZI ZITATULIWE MAPEMA INATUTIA HASARA HASA KIPINDI HIKI AMBACHO TUPO KWENYE VITA YA KUPAMBANA NA CORONA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina uchungu nimejaza form muda mrefu hiyo survey imechukua wiki 2 kupewa namba ya kulipia Sasa mwezi mzima taarifa zangu zipo kituo Cha tazara yombo ilala nijulishwe Kama Kuna shida Basi mtu tunajitahidi kuitafuta hiyo hela nyie mmatukwamisha naomba hiyo huduma Kama sistahili nijulishwe 0754228453

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali onyesha namba ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…