Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Mwaka 2015 walisababisha computer 3 zikafa ndani ya mwezi mmoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni wa hai uko, mm nipo Moshi mjini mkuumwambieni Sabaya
Ukala hasara boss? Dah wakati mwingine wanapaswa kushtakiwa, huu ni uhujumu uchumi kabisa, hapo wameshaipunguzia gvt mapatoMwaka 2015 walisababisha computer 3 zikafa ndani ya mwezi mmoja.
Yeye kutwa kudeal na wafanyabiashara tu, sijui inakuwaje mwanaume anakuwa na hulka ya WIVU WIVUyule ni tapta-tapta
Wanajua hakuna wa kuwawajibisha ndio maana wanafanya ujinga kama huo. Wengine wanakuwa na vimada wao wanataka kuwaaminisha kuwa bado wako ofisini hivyo kithibitisho ni kuchezea switch 😬😬😬Ukala hasara boss? Dah wakati mwingine wanapaswa kushtakiwa, huu ni uhujumu uchumi kabisa, hapo wameshaipunguzia gvt mapato
Aisee mbona ni ushamba wa kupindukia! Yaani tupate hasara kwasababu ya uchi wa kahaba mmoja uko uchochoroni🙆🏾♂️🙆🏿♂️ duh! hawa Ni wahandisi wa wapi kwani?Wanajua hakuna wa kuwawajibisha ndio maana wanafanya ujinga kama huo. Wengine wanakuwa na vimada wao wanataka kuwaaminisha kuwa bado wako ofisini hivyo kithibitisho ni kuchezea switch 😬😬😬
Mkuu kuna wananchi, WENYE nchi na WALA NCHI.Aisee mbona ni ushamba wa kupindukia! Yaani tupate hasara kwasababu ya uchi wa kahaba mmoja uko uchochoroni🙆🏾♂️🙆🏿♂️ duh! hawa Ni wahandisi wa wapi kwani?
Tafadhali fika ofisi ya eneo lako aina ya maombi haya hifanyika ofisi ya eneo lakoHABARI, NAONA TATIZO BADO LIKO PALEPALE. NIMENUNUA UMEME LAKINI SIJAPEWA UNIT ZA (D1) NAONA NIMEPEWA ZA (T1). NAOMBENI MNIHAMISHIE D1. MATUMIZI YANGU NI MADOGO SANA KWA MWEZI
Tunashukuru kwa taarifa tafadhali onyesha namba ta simu kwa mrejesho dhidi ya taarifa yakoUmeme ulikatika kuanzia jana saa 11 jioni tarehe 22/5/2020 hadi leo hii trh 22/5/2020 Saa 11 jioni hakuna umeme ktk maeneo ya kiluvya GOGONI , hondogo pamoja Na maeneo mengi. Shughuli ZA uzalishaji zimesimama Kwa masaa yote hayo, UMEME unakatika unawaka sekunde kisha unakatika,
Tunakuomba meneja wa Tanesco mkoa wa kitanesco Pwani tusaidie tatizo hili, tumevumilia tumechoka
Tafadhali acha kupotosha uma kwa kutoa maneno ya uongo ambayo hauwezi kuyadhibitisha popote paleWanajua hakuna wa kuwawajibisha ndio maana wanafanya ujinga kama huo. Wengine wanakuwa na vimada wao wanataka kuwaaminisha kuwa bado wako ofisini hivyo kithibitisho ni kuchezea switch [emoji51][emoji51][emoji51]
Limewagusa sana mpaka mmekereka. Mbona kwenye malalamiko ya msingi mnakaa kimya. Kungekuwa na kampuni binafsi za umeme, mngegeuka kuwa kama posta na simu. MnakeraTafadhali acha kupotosha uma kwa kutoa maneno ya uongo ambayo hauwezi kuyadhibitisha popote pale
Sent using Jamii Forums mobile app
TAFADHALI onyesha taarifa kamili zaLimewagusa sana mpaka mmekereka. Mbona kwenye malalamiko ya msingi mnakaa kimya. Kungekuwa na kampuni binafsi za umeme, mngegeuka kuwa kama posta na simu. Mnakera
Nashukuru sana kwa response yenu kwangu ktk kuhakikisha mnanisaidia kwa kero niliyoitoa. Japokuwa utekelezaji bado lakini kwa response niliyoipata nina imani kubwa ya kuwa mtanisaidia. Nimefurahi katika hili.
Ahsante sana mpendwa mteja wetuNashukuru sana kwa response yenu kwangu ktk kuhakikisha mnanisaidia kwa kero niliyoitoa. Japokuwa utekelezaji bado lakini kwa response niliyoipata nina imani kubwa ya kuwa mtanisaidia. Nimefurahi katika hili.
Ushauri wangu kwenu Tanesco msisubiri mpaka watu waclaim kwenye medias ndipo mtoe msaada kumbukeni mpo pale kwaajili ya kuwasaidia watu. Imagine ni wangapi ambao hawana access na medias kuwasilisha matatizo yao manake watazidi kuumia na kukereka hatimae wanajenga imagine mbaya kwa shirika.
WASAIDIENI WATU ON THE SPOT WANAPOWASILISHA SHIDA ZAO KWENU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaandika error namba ngapi?upo wilaya gani? Namba yako ya simu tafadhali na mita hii inakupa changamoto ganiMimi kwangu kulala giza NI kawaida kwani Mara nyingi ikifika jioni kuanzia saa moja na nusu kwangu umeme hauwaki na mita inandika error.
Tatizo hili ni tangu MWEZI may 2016 nimefustilia tanesco bila mafanikio wao wakija wanabadilisha njia Kama nilikuwa fase one Basi nseekewa two lakini tatizo bado.
Mara kadhaa nimeomba kubadilishiwa mita naambiwa haiwezekani. Naomba MSAADA wenu namba ya mita NI zile za 4300.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa respond yenu taarifa ulizotaka nimetuma pmInaandika error namba ngapi?upo wilaya gani? Namba yako ya simu tafadhali na mita hii inakupa changamoto gani
Sent using Jamii Forums mobile app