Asante kwa taarifa tunaifanyia kaziNina uchungu nimejaza form muda mrefu hiyo survey imechukua wiki 2 kupewa namba ya kulipia Sasa mwezi mzima taarifa zangu zipo kituo Cha tazara yombo ilala nijulishwe Kama Kuna shida Basi mtu tunajitahidi kuitafuta hiyo hela nyie mmatukwamisha naomba hiyo huduma Kama sistahili nijulishwe 0754228453
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali onyeshaHabari Tanesco! Mimi nakaa Sakina Kwa Idd tumekuwa na tatizo la umeme kwa miaka zaidi ya miaka 17. Tatizo ni hilo hilo kila wakati transformer ya kama unaenda shule ya Trust ukipitia njia hii ya Kilimanjaro School ninavyo andika hivi hakuna umeme sasa najiuliza hakuna mafundi kwanini hakuna suluhisho la tatizo hili miaka yote hiyo. Hebu tatueni hili tatizo once and for all.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu, unaweza kufafanua zaidi kidogoNaomba kujua utaratibu wa kuomba kuunganishwa na umeme kwa yale maeneo yaliyopo pembezoni mwa miji na kuna umeme uliopita karibu ambao ni mradi wa REA ???
Sent using Jamii Forums mobile app
Je umefanya kwa jina gani? Namba ya simu tafadhaliNipo Peramiho - Songea DC, nimepeleka maombi ya kuunganishiwa umeme kama mteja mpya tangu tar 23/12/2019 kwa mpango wa REA lakini hadi leo hakuna Surveyor aliyefika. Na nyumba yangu ipo jirani tu na nguzo si zaidi ya Mita 30. Nimefuatilia mwezi February nikaambiwa niandike barua ya kuwakumbusha lakini bado hamajafika. Sasa nimechoka kusubiria kwa muda wote huu. Natafuta mawasiliano ya Waziri mwenye dhamana nimuwasilishie hili suala maana documents za ushahidi ninazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna umeme wa rea maeneo ya viwege kata majohe wilaya ilala Dar es salaam ila huduma imesimama eneo moja na wengine tunaotakakuwekewa ni ziadi ya miezi sita hakuna kinachoendelea licha ya kufuatilia tatizo limekuwa ni nguzo tufanyeje?Ndugu, unaweza kufafanua zaidi kidogo
TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
kuna umeme wa rea maeneo ya viwege kata majohe wilaya ilala Dar es salaam ila huduma imesimama eneo moja na wengine tunaotakakuwekewa ni ziadi ya miezi sita hakuna kinachoendelea licha ya kufuatilia tatizo limekuwa ni nguzo tufanyeje?
yule ni tapta-taptamwambieni Sabaya
Huko ni kijijini sana itakuaUmeme Moshi ni Kama Corona .kukiwa na mawingu tu wanakataa