Ukala hasara boss? Dah wakati mwingine wanapaswa kushtakiwa, huu ni uhujumu uchumi kabisa, hapo wameshaipunguzia gvt mapato
Wanajua hakuna wa kuwawajibisha ndio maana wanafanya ujinga kama huo. Wengine wanakuwa na vimada wao wanataka kuwaaminisha kuwa bado wako ofisini hivyo kithibitisho ni kuchezea switch 😬😬😬
 
Wanajua hakuna wa kuwawajibisha ndio maana wanafanya ujinga kama huo. Wengine wanakuwa na vimada wao wanataka kuwaaminisha kuwa bado wako ofisini hivyo kithibitisho ni kuchezea switch 😬😬😬
Aisee mbona ni ushamba wa kupindukia! Yaani tupate hasara kwasababu ya uchi wa kahaba mmoja uko uchochoroni🙆🏾‍♂️🙆🏿‍♂️ duh! hawa Ni wahandisi wa wapi kwani?
 
Aisee mbona ni ushamba wa kupindukia! Yaani tupate hasara kwasababu ya uchi wa kahaba mmoja uko uchochoroni🙆🏾‍♂️🙆🏿‍♂️ duh! hawa Ni wahandisi wa wapi kwani?
Mkuu kuna wananchi, WENYE nchi na WALA NCHI.
 
Umeme ulikatika kuanzia jana saa 11 jioni tarehe 22/5/2020 hadi leo hii trh 22/5/2020 Saa 11 jioni hakuna umeme ktk maeneo ya kiluvya GOGONI , hondogo pamoja Na maeneo mengi. Shughuli ZA uzalishaji zimesimama Kwa masaa yote hayo, UMEME unakatika unawaka sekunde kisha unakatika,
Tunakuomba meneja wa Tanesco mkoa wa kitanesco Pwani tusaidie tatizo hili, tumevumilia tumechoka
 
Tunawaomba shirika letu la UMEME Tanesco kuweni makini juu ya usambazaji wa nishati hii muhimu Kwa wananchi, kero ya ukatikaji wa UMEME haikubaliki ktk kipindi hiki CHA kuelekea uchumi wa viwanda ni aibu kubwa Na ni kuhukumu maendeleo ya wananchi an taifa Kwa ikumla
 
HABARI, NAONA TATIZO BADO LIKO PALEPALE. NIMENUNUA UMEME LAKINI SIJAPEWA UNIT ZA (D1) NAONA NIMEPEWA ZA (T1). NAOMBENI MNIHAMISHIE D1. MATUMIZI YANGU NI MADOGO SANA KWA MWEZI
Tafadhali fika ofisi ya eneo lako aina ya maombi haya hifanyika ofisi ya eneo lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunashukuru kwa taarifa tafadhali onyesha namba ta simu kwa mrejesho dhidi ya taarifa yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajua hakuna wa kuwawajibisha ndio maana wanafanya ujinga kama huo. Wengine wanakuwa na vimada wao wanataka kuwaaminisha kuwa bado wako ofisini hivyo kithibitisho ni kuchezea switch [emoji51][emoji51][emoji51]
Tafadhali acha kupotosha uma kwa kutoa maneno ya uongo ambayo hauwezi kuyadhibitisha popote pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwangu kulala giza NI kawaida kwani Mara nyingi ikifika jioni kuanzia saa moja na nusu kwangu umeme hauwaki na mita inandika error.
Tatizo hili ni tangu MWEZI may 2016 nimefustilia tanesco bila mafanikio wao wakija wanabadilisha njia Kama nilikuwa fase one Basi nseekewa two lakini tatizo bado.
Mara kadhaa nimeomba kubadilishiwa mita naambiwa haiwezekani. Naomba MSAADA wenu namba ya mita NI zile za 4300.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina ni MARCELINO TIMOTHY MLELWA
Namba ya simu ni 0754250476

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana kwa response yenu kwangu ktk kuhakikisha mnanisaidia kwa kero niliyoitoa. Japokuwa utekelezaji bado lakini kwa response niliyoipata nina imani kubwa ya kuwa mtanisaidia. Nimefurahi katika hili.
Ushauri wangu kwenu Tanesco msisubiri mpaka watu waclaim kwenye medias ndipo mtoe msaada kumbukeni mpo pale kwaajili ya kuwasaidia watu. Imagine ni wangapi ambao hawana access na medias kuwasilisha matatizo yao manake watazidi kuumia na kukereka hatimae wanajenga imagine mbaya kwa shirika.
WASAIDIENI WATU ON THE SPOT WANAPOWASILISHA SHIDA ZAO KWENU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana mpendwa mteja wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaandika error namba ngapi?upo wilaya gani? Namba yako ya simu tafadhali na mita hii inakupa changamoto gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…