Onyesha taarifa kamili kwa mfumo huo hapo juu tafadhali kwa hatua zaidiTanesco Maji ya chai, Arumeru -Arusha mnakata sana umeme. Nilimnukuu waziri wa Nishati bwana Kalimani, akisema,"Umeme ukikatika meneja wa eneo husika afukuzwe kazi",Sijui ninyi Tanesco USA River mko Tanzania ya wapi kiasi hamkumsikia waziri. Tafadhali tanesco USA river acheni kukata umeme kama maelekezo ya waziri!
Onyesha taarifa kamili kwa mfumo huo hapo juu tafadhali kwa hatua zaidiMiezi 4 sasa sifungiwi huo umeme tena sehemu isiyohitaji hata nguzo moja ni kushusha tu waya kweli ??? nililalamika humu nikapigiwa simu kuwa very soon watakuja kunifungia saiv miez miwili imeisha tena..haya ngoja nisubiri hadi mtakapo penda
Tafadhali onyesha taarifa kamili umelipia linuNini kinasababisha mpaka tanesco muwe na upungufu wa Nguzo kiasi kwamba mteja anacheleweshwa huduma ya kufungiwa umeme miezi kadhaa baada ya kulipa fedha yake na kukamilisha taratibu zote za kiofisi?
Hili tatizo lipo hasa tanesco mbagala.
Ok
Je umelipa tarehe ngapiTANESCO MKOLANI MWANZA mnaboa sana sana. Mtu analipia umeme anakaa zaidi ya mwezi hamjaunganisha. Hivi mnafahamu kama mnapata mishahara kutoka huko? Bila wateja hakuna mshahara. Badilikeni. Meneja kama hayupo yaani. Ukweli inaumiza sana.
Inategemea na umbali ndugu mteja, lakn ni siku ambazo hazizidi 60 za kazi kutegemea na umbaliNaomba kujua utaratibu, Kama mteja akilipia ili aingiziwe umeme huwa inachukua muda gani Hadi kuingiziwa umeme.?
Kama ndani ya mita 30 ni ndani ya siku 30 za kazi ukitoa sikukuu na wikiendi na siku 60 za kazi kama ni kati ya mita 30 hadi 120.Inategemea na umbali kutoka wapi Hadi wapi? Mteja tangu amelipa Hadi leo tayari ni mwezi wa pili na hakuna dalili.
Ni ndani ya Mita 30. Kwa nini msubiri ndani ya siku 30 wakati kila kitu mnacho na mnafahamu hiyo ni biashara na si offer?Kama ndani ya mita 30 ni ndani ya siku 30 za kazi ukitoa sikukuu na wikiendi na siku 60 za kazi kama ni kati ya mita 30 hadi 120.
Je umelipia kiasi gani na tarehe yako
TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
Hauwezi kupewa control number kama upo mbali na miundombinu ya usambazaji wa umene kwa kuwa bado haujafikiwa na umeme hivyo tunakuomba usibiri ufikiweKwa wateja ambao tunaambiwa tusubiri bajeti ya mwakani hatutakiwi kupewa control number za kulipia?