TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Huduma bora inaanza na usahihi wa taarifa uliyotupatia,Tafadhali zingatia mfumo ulioambatanishwa kila utoapo taarifa kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii
IMG_20200531_081302_306.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco Maji ya chai, Arumeru -Arusha mnakata sana umeme. Nilimnukuu waziri wa Nishati bwana Kalimani, akisema,"Umeme ukikatika meneja wa eneo husika afukuzwe kazi",Sijui ninyi Tanesco USA River mko Tanzania ya wapi kiasi hamkumsikia waziri. Tafadhali tanesco USA river acheni kukata umeme kama maelekezo ya waziri!
 
Onyesha taarifa kamili kwa mfumo huo hapo juu tafadhali kwa hatua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miezi 4 sasa sifungiwi huo umeme tena sehemu isiyohitaji hata nguzo moja ni kushusha tu waya kweli ??? nililalamika humu nikapigiwa simu kuwa very soon watakuja kunifungia saiv miez miwili imeisha tena..haya ngoja nisubiri hadi mtakapo penda
 
Nini kinasababisha mpaka tanesco muwe na upungufu wa Nguzo kiasi kwamba mteja anacheleweshwa huduma ya kufungiwa umeme miezi kadhaa baada ya kulipa fedha yake na kukamilisha taratibu zote za kiofisi?
Hili tatizo lipo hasa tanesco mbagala.
 
Tafadhali onyesha taarifa kamili umelipia linu

Wilaya

Simu

Jina ulilolipia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua utaratibu, Kama mteja akilipia ili aingiziwe umeme huwa inachukua muda gani Hadi kuingiziwa umeme.?
 
TANESCO MKOLANI MWANZA mnaboa sana sana. Mtu analipia umeme anakaa zaidi ya mwezi hamjaunganisha. Hivi mnafahamu kama mnapata mishahara kutoka huko? Bila wateja hakuna mshahara. Badilikeni. Meneja kama hayupo yaani. Ukweli inaumiza sana.
 
Je umelipa tarehe ngapi

Kiasi gani

Wilaya gani

Namba ya simu

Kwa jina gani tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na umbali kutoka wapi Hadi wapi? Mteja tangu amelipa Hadi leo tayari ni mwezi wa pili na hakuna dalili.
 
Kama ndani ya mita 30 ni ndani ya siku 30 za kazi ukitoa sikukuu na wikiendi na siku 60 za kazi kama ni kati ya mita 30 hadi 120.
Je umelipia kiasi gani na tarehe yako

TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
 
Ni ndani ya Mita 30. Kwa nini msubiri ndani ya siku 30 wakati kila kitu mnacho na mnafahamu hiyo ni biashara na si offer?
 
Kwa wateja ambao tunaambiwa tusubiri bajeti ya mwakani hatutakiwi kupewa control number za kulipia?
 
Tanesco mna udhaifu katika huduma zenu.
Hii kata washa kata washa imezidi tunarudi karne ya 19 bila kujijua.Fanyeni kazi kwa ubora unaotakiwa na viwango vya kimataifa
 
tunaomba taarifa kamili ndugu mteja
 
Tanesco nawwza pata statement ya matumizi ya umeme wa dukani tulikokodisha nijue napigwa au umeme uko normal
 
Back
Top Bottom