TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Hivi Tanesco Kimara kwanini wanapenda sana kuschedule maintenance zao weekend days?Mkuu TANESCO unaweza kunipa maelezo kwanini mkikata umeme mara nyingi huwa ni weekend days,ijumaa,jmosi(hii ndio sana) na jpili?!Haya maeneo ni nje ya mji ambayo kwa kiasi kikubwa ni makazi ya kuishi ya watu.Matumizi ya umeme yanakuwa makubwa during weekends kuliko katikati ya wiki ambapo week days wengi wanakuwa kazini mjini.
Mimi natoa ushauri kama mna maintenance zozote za kufanya its better you schedule it on Tuesdays or Wednesdays na mara moja moja tu,msizowee kutukatia umeme.Huu ni uzamani.Do your research kwa matumizi ya umeme mtagundua why nimewashauri hivi.
 
Asante kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco naomba mniingizie Umeme,nimeripia tangu tarehe1/4/2020,nikija ofisini kweni majibu ni kuwa corona imesababisha Vifaa vichelewe naomba Umeme Jamani, nyumba yetu ipo ndani ya mita 10tu, Nipo Tukuyu kkk Hapa jirani Kabisa na Mbuja english medium please
 
Umelipa kwa jina gani

Namba ya simu

Eneo

Wilaya

Tarehe ngapi

Kiasi gani tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco Tafadhalini jaman naomba huduma ya umeme nyumbani kwangu. Kama ni pesa nimekwisha kulipa yote unakwenda ofis zao kuuliza unaambiwa nguzo shida, Mara zitakuja hivi karibuni
Ni nimwezi wa nne 4 bila taarifa kamili.
 
Weka taarifa kamili tafadhali

Eneo

Wilaha

Simu

Jina

Kiasi ulicholipa

Tarehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uku mtaani kwetu mpo lazy sana kwenye maintanace.. nguzo adi zioze kabisa na zianguke zizuru au kujeruhi ndio mnakuja kubadirisha. kwanin uwa hamna survey kuzipitia adi zinaua watu.
 
Eneo gani

Wilaya

Namba ya simu

Namba ya taarifa

Weka na picha kama ipo tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO
Ada anayolipa mteja kwaajili ya surveyor na kuchorewa mchoro Ni Tshngapi?! Na inachukuwa mda gani Tangu mchoro uchukuliwe Hadi kutumiwa control number kwaajili ya malipo?!
 
Mteja halipii gharama yeyote kwa ajili ya survey bali analipa gharama ya wiring na mchoro kwa mkandarasi aliyemfanyie kazi hiyo na kwa makubaliano yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mkandarasi wa kuchora mchoro analipwa kwa makubaliano?!
Hakuna mkandarasi wa kuchora mchoro bali ni wajibu wa fundi aliyefanya wiring nyumba yako kukuweka mchoro na muhuri ndio maana tunawasisitiza kutumia mafundi waliosajiliwa na wanaotambulika kisheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutakupa mrejesho ndugu mteja.

TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
Salaam, hii siyo haki kumjibu mteja suala la kiutendaji kuliwekea majibu ya kisiasa!

Nimesubiria huduma ya umeme kama taratibu zinavyoelekeza siku 60. Baada ya kufanya malipo .

Nilipoona kimya nikaulizia HUMU sehemu ambayo naiamini kuwa ni ukurasa sahihi kutatua shida kuhusiana na TANESCO.

Humu niliombwa taarifa muhimu na kuombwa no za simu, nilitekeleza yote na kuahidiwa kupatiwa jibu.

Nikasubiri jibu kwa muda wa takribani 2weeks nikauliza tena humu nikapata jibu zuri " ndugu mteja tunashughulikia suala lako"

Nikawekewa na namba za simu huduma kwa wateja!

Nimesubiri week 1 , leo nimeipiga ile no ya huduma kwa wateja, nikaombwa tena taarifa zangu nikatoa, hawa wakaniambia taarifa wamepokea watafuatilia ila nipige simu no 0685922888 MKURANGA. kuulizia wamefikia wapi?( hapa nililalamika kidogo na kuhusisha ukurasa huu kama siyo rasmi tujue ? Maana naanza upya)

Nimepiga simu Mkuranga, jibu nililopewa ni jepesi na nililolipenda na nikatoa na ushauri pia.

JIBU;; ulilipia lini mwezi wa tatu 27, ooooh kwa sasa tunamalizia waliolipia mwezi wa pili.

Mm niendelee kusubiria ntafikiwa,, maombi ya kuunganishiwa umeme yalikuwa mengi.

Hivi kweli TANESCO majibu haya, yanatàkiwa kutafutwa kwa muda gani? Au siyo majibu sahihi?

Ushauri; kuwafuatafuata ofisini ni gharama, tujulisheni kwa meseji baada ya muda wa siku za mkataba kufika.

Ufafanuzi; eneo langu zipo nyumba ambazo tayari zina umeme , naruhusiwa kufanya kuunganisha umeme mpaka hapo mtakaponiunganishia?

Maana nimejenga nyumba kwa ajili ya wapangaji nakosa wapangaji sababu ya umeme.
 
TUNASHUKURU sana kwa ufatiliaji wako, tafadhali onyesha namba ya simu tarehe uliyolipia na eneo ulipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom