TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Eneo. ...... Itunge
Wilaya .... Kyela
Tarehe. 20.04.2020
Kiasi lipwa ni 337,639/=
Naombeni hiyo huduma
Asante nimepigiwa simu leo baada ya kuandika katika ukurasa huu. Ila ninachoomba huduma mtuwaishie kwani kukaa bila umeme ni kero kubwa.
 
Usikosee!!
IMG_20200628_164411_170.jpg

TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
 
Tanessco angalieni vizuri adha iliyopo ya tatizo la umeme Mtwara vijijini hasa vijiji vya Mpapura, libobe,kitere na maeneo mengine vijijini Leo siku ya Saba umeme hauna nguvu hata redio hauwashi. Watu wanaotegemea umeme katika biashara zao zimesimama.Watu vitu vyao vinaungua maana unakuja Kasi na kupungua nguvu ghafla,

Sasa maajabu mita za remote hizi ndogo karibu zote hazifanyi kazi Lkn pia umeme unakatika nyumba moja moja sio ile ya mtaa kwa mtaa.

Jitihada zilizofanyika wananchi wamepiga simu Tannesco mtwara kila siku Lakini majibu wanayopewa Ni kwamba mafundi wanakuja kushughulikia, lkn hawajaonekana

Niwaombe TANESCO yanapotokea matatizo Kama haya Basi watoe taarifa kuwa Kuna itilafu kwahiyo tunashughulikia kwa Fulani, lkn mnapokaa kimya wiki nzima wakati watu wanahitaji umeme ili shughuli zao za kujitafutia ulaji wa kila siku ziende, mnawakwamisha na kuwalaza njaa.

Tatueni changamoto ya umeme Mtwara haraka, haiwezekan tatizo wiki nzima halipatiwi majibu niwaombe Sana Tannesco.
 
Tafadhali tusaidie namba yako ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali tusaidie namba yako ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
Privacy ya mtoa taarifa Ni muhimu Sana. Cjajua kwann mnatakaga namba za simu wakati swala Ni kutoa Taarifa ya kusumbua umeme maeneo tajwa. Ingekuwa Ni ishu yangu binafsi kuwa mita au nyumba yangu umeme unasumbua sawa ningewapa namba

Kuweka namba hapa wakati tatizo ni la eneo kubwa Ni hatari kidogo Kwasababu kuna watu kukatika umeme kwao Ni faida. Watu wa Sola wanatoa huduma Ya kuchaji kwa Bei Gali Sana linapotokea tatizo la umeme. Nafikiri mtakuwa mmenielewa vizuri

Nashuari issue Ya umeme km Ni tatizo linalohusu jamii nzima Basi mtoa taarifa sip lazima atoe namba kwa usalama
Ni maoni yangu tu , samahani nitakuwa nimetoa contraversal opinion
 
Habari kampuni ya Umeme TANESCO naomba kufahamu gharama za kuvuta umeme bila kuongeza nguzo yoyote na taratibu zake zikoje niko Dar es Salaam Madale
 
Unatatikiwa nyumba yako iwe imesukwa mfumo wezeshi wa kuingiziwa umeme(wiring).

Kisha fundi aliefanya kazi akuandalie mchoro wa jinsi wiringi ilivyo na upigwe muhuni na mhandisi(fundi anajua anaupateje)

Kisha unaenda ofisi ya TANESCO iliyo karibu unapewa fomu ya kuomba kuunganishiwa umeme inambatanishwa na mchoro wa nyumba na nakala ya kitambulisho Chako(NIDA au cha kura)

Utasubiri mpaka zamu yako utakapofikia kuunganisha utafanyiwa ivyo.
Gharama zipo za namna mbili elfu 27,000/= kwa umeme wa vijijini REA
elfu 99,000/= kama si wa REA.
 
Boss, sijui kuna tofauti gani katika hizi gharama za kulipia kuvuta umeme wa Tanesco. Nimelipa Tsh. 320,920 kwa huduma hiyo bila nguzo.

Sasa hiyo Tzs 27,000 au 99,000 utakuwa unazungumzia Nanjilinji vijijini huko.

Na umwambie asisahau Tzs 20,000 ya surveyor na angalau Tzs 10,000 ya kuambia "yaani tumehangaika kweli kutafuta nyumba yako", "subiri, tunakuja, kuna wengi tunawafungia", "unatoa chai tuje hapo fasta", n.k

Kimsingi kihalali, usipungukiwe na Tzs 330,000
 
.
Mkuu hiyo ghara 99k siyo kwa miji mikubwa . Miji mikuwa mijini gharama ni 320k ikiwa upo ndani ya mita 30 kutoka kwenye nguzo
 
Boss, sijui kuna tofauti gani katika hizi gharama za kulipia kuvuta umeme wa Tanesco. Nimelipa Tsh. 320,920 kwa huduma hiyo bila nguzo.

Sasa hiyo Tzs 27,000 au 99,000 utakuwa unazungumzia Nanjilinji vijijini huko.

Na umwambie asisahau Tzs 20,000 ya surveyor na angalau Tzs 10,000 ya kuambia "yaani tumehangaika kweli kutafuta nyumba yako", "subiri, tunakuja, kuna wengi tunawafungia", "unatoa chai tuje hapo fasta", n.k

Kimsingi kihalali, usipungukiwe na Tzs 330,000
Mkuu fuata taratibu hizo nilizokuambia huwezi kupigwa pesa.
Mf. Umemchukua kishokabkapiga wiring alafu kapotolea mbali kaz et amemaliza ukienda TANESCO watakudai mchoro kama huna utaambiwa utandaliwa engineer
wa TANESCO gharama lazima ziongezeke.
Kuhusu surveyor nenda kamchukue umpeleke kwenye site direct bila hata malipo tena akikutoza umepigwa mjini hapa tena wanapewa pesa na ofisi na pia wewe unamuongezea pesa pole sana.
Waunganishaji ni kweli wanababaisha kutaka pesa,ukiwa na na roho nyepesi unatoa pesa kwanini usiende kwa meneja wa kituo na ushahidi ukiona unazinguliwa ukiwa mzembe utapigwa sana.
 
Boss, sijui kuna tofauti gani katika hizi gharama za kulipia kuvuta umeme wa Tanesco. Nimelipa Tsh. 320,920 kwa huduma hiyo bila nguzo.

Sasa hiyo Tzs 27,000 au 99,000 utakuwa unazungumzia Nanjilinji vijijini huko.

Na umwambie asisahau Tzs 20,000 ya surveyor na angalau Tzs 10,000 ya kuambia "yaani tumehangaika kweli kutafuta nyumba yako", "subiri, tunakuja, kuna wengi tunawafungia", "unatoa chai tuje hapo fasta", n.k

Kimsingi kihalali, usipungukiwe na Tzs 330,000
Mkuu wewe umeandika reality yenyewe
 
Dodoma tunatoa 340,000/=
 
Ndugu zangu kama una vuta umeme maeneo ya mjini kwa sasa omba mungu nyumba yako isizidi umbali wa mita 30 kutoka kwenye nguzo ya huduma.

Endapo utakuwa umezidi mita 30, utaratibu ni mgumu sana kwa sasa halafu unatumia muda sana kufuatilia kwasababu tanesco ni wazembe sana. Unaweza kuzungushwa na pesa yako zaidi ya miezi sita bila mafanikio

Mimi leo nyumba yangu ilikuwa mita 90 kutoka kwenye nguzo ya huduma natakiwa kulipa gharama ya 690k .ila nazungushwa kupata control number ya malipo mwezi wa pili umekata sasa napigwa calender tu kwa sababu zisizo na msingi.

Wanakera sana tanesco na huduma zao mbovu, hawafuatilii kabisa
 
Back
Top Bottom