Naomba msome taarifa yangu vizuri.Pale Hanang wilayani walisema tujaze fomu irudishwe mafundi au sijui mnawaita wakaguzi waende wakakague ndio tulipie kuwekewa umeme.Sasa tumekwama hapo kwenye ukaguzi ,hatuna mtu wa kufuatilia kwani mhusika ni bibi mzee hawezi alikuwa anasaidiwa n kijana wake anayesoma chou sasa alipofungua chou hakuna wakufuatilia.Na hata ukifuatilia wanakuambia weka fomu hapo tutakuja wenyewe wala msipige simu ndio utaratibu wao.Narudia tena ,kulipia bado tuko kwenye stage ya ukaguzi ili walipie