TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Mita ikishafungwa eneo moja haihamishiki na kuhamisha ni kosa kisheria labda kwa sababu ambazo zipo ndani ya maamuzi ya TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanesco naweza omba kwenu nikahama maana ni garama unapohama unfika sehemu tena uaanze process ya kuvuta umeme wakati kuna metre ulikuwa umeilipia, vhangamoto ni huu umeme wa kushare umekatika anaetakiwa kulipa anasema niko mbali na sina hela huku wewe biashara zako zinauhitaji umeme muda wote
 
Jamani naomba Tanesco ofisi za Wilaya ya Hanang mtusaidie basi kukague wanaohitaji umeme basi mbona process inachukua muda mrefu jamani tangu huyu bibi hapa kijijini hapa Meascrow ameleta fomu yake ili awakewe umeme jamani ni mtu anamsaidia tu.Tanesco sasa kitu gani kifanyike au process unachukua muda gani kwa sababu naona umeme mpaka awekewe itachukua muda na hela hana bibi wa watu
 
Hairuhusiwi kwa mujibu wa taratibu zetu ukifika eneo lingine omba umeme tutakufungia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naomba Tanesco ofisi za Wilaya ya Hanang mtusaidie basi kukague wanaohitaji umeme basi mbona process inachukua muda mrefu jamani tangu huyu bibi hapa kijijini hapa Meascrow ameleta fomu yake ili awakewe umeme jamani ni mtu anamsaidia tu.Tanesco sasa kitu gani kifanyike au process unachukua muda gani kwa sababu naona umeme mpaka awekewe itachukua muda na hela hana bibi wa watu
Je umelipia kwa jina gani

Tarehe ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco naweza omba kwenu nikahama maana ni garama unapohama unfika sehemu tena uaanze process ya kuvuta umeme wakati kuna metre ulikuwa umeilipia, vhangamoto ni huu umeme wa kushare umekatika anaetakiwa kulipa anasema niko mbali na sina hela huku wewe biashara zako zinauhitaji umeme muda wote

pole sana ndugu mteja, mita uwezi kuhama nayo ndio maana mita inasomeka jina la kwanza la mita na inapofungwa taarifa za eneo huska huingizwa kwenye mfumo wetu kwa ajili ya kumbukumbu
 
Jamani naomba Tanesco ofisi za Wilaya ya Hanang mtusaidie basi kukague wanaohitaji umeme basi mbona process inachukua muda mrefu jamani tangu huyu bibi hapa kijijini hapa Meascrow ameleta fomu yake ili awakewe umeme jamani ni mtu anamsaidia tu.Tanesco sasa kitu gani kifanyike au process unachukua muda gani kwa sababu naona umeme mpaka awekewe itachukua muda na hela hana bibi wa watu

WEKA TAARIFA SAHIHI NA KAMILI
 
Kwa yeyote anayehusika hapo Tanesco nikitaka kubadilisha Tariff nifuate utaratibu gani?
 
Naomba kuuliza; In case nguzo ya umeme iko ndani ya kiwanja changu na nahitaji kuweka fence ya ukuta kuna huduma ya kuhamishwa na kuwekwa nje ya uwanja wangu?
 
Nguzo inawezwa kuhamishwa kwa maombi yako kwa maandishi kwenda kwa meneja wa eneo husika.Mara baada ya kuleta maombi tutapima na kukupatia gharama za mahitaji za kuhamisha nguzo husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina la Monica Lazaro
Fomu imewasilishwa tarehe

Fomu kwa ajili ya ukaguzi ilipelekwa tarehe 29 mwezi wa Tano (29/5/2020) kwa taharifa za huyo bibi yangu na Jina lake ni Monica Lazaro.Bado hawajakagua kwa ajili ya kulipia kuwekewa umeme.Asante
Tafadhali tuma taaarifa kamili

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tarehe ya malipo

Kiasi

Tatizo

Kwa hatua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali tuma taaarifa kamili

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tarehe ya malipo

Kiasi

Tatizo

Kwa hatua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msome taarifa yangu vizuri.Pale Hanang wilayani walisema tujaze fomu irudishwe mafundi au sijui mnawaita wakaguzi waende wakakague ndio tulipie kuwekewa umeme.Sasa tumekwama hapo kwenye ukaguzi ,hatuna mtu wa kufuatilia kwani mhusika ni bibi mzee hawezi alikuwa anasaidiwa n kijana wake anayesoma chou sasa alipofungua chou hakuna wakufuatilia.Na hata ukifuatilia wanakuambia weka fomu hapo tutakuja wenyewe wala msipige simu ndio utaratibu wao.Narudia tena ,kulipia bado tuko kwenye stage ya ukaguzi ili walipie
 
Tafadhali onyesha

Jina kamili

Namba ya simu

Eneo husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom