lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Tel no 0754695296TUNASHUKURU sana kwa ufatiliaji wako, tafadhali onyesha namba ya simu tarehe uliyolipia na eneo ulipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa taarifa tunaifatiliaTel no 0754695296
Tarehe niliyolipia; 27/3/2020
Eneo; Mkokozi karibu na serikali ya mtaa - MTIPESA.
Asante nimepigiwa simu leo baada ya kuandika katika ukurasa huu. Ila ninachoomba huduma mtuwaishie kwani kukaa bila umeme ni kero kubwa.Eneo. ...... Itunge
Wilaya .... Kyela
Tarehe. 20.04.2020
Kiasi lipwa ni 337,639/=
Naombeni hiyo huduma
Tafadhali tusaidie namba yako ya simuTanessco angalieni vizuri adha iliyopo ya tatizo la umeme Mtwara vijijini hasa vijiji vya Mpapura, libobe,kitere na maeneo mengine vijijini Leo siku ya Saba umeme hauna nguvu hata redio hauwashi. Watu wanaotegemea umeme katika biashara zao zimesimama.Watu vitu vyao vinaungua maana unakuja Kasi na kupungua nguvu ghafla,
Sasa maajabu mita za remote hizi ndogo karibu zote hazifanyi kazi Lkn pia umeme unakatika nyumba moja moja sio ile ya mtaa kwa mtaa.
Jitihada zilizofanyika wananchi wamepiga simu Tannesco mtwara kila siku Lakini majibu wanayopewa Ni kwamba mafundi wanakuja kushughulikia, lkn hawajaonekana
Niwaombe TANESCO yanapotokea matatizo Kama haya Basi watoe taarifa kuwa Kuna itilafu kwahiyo tunashughulikia kwa Fulani, lkn mnapokaa kimya wiki nzima wakati watu wanahitaji umeme ili shughuli zao za kujitafutia ulaji wa kila siku ziende, mnawakwamisha na kuwalaza njaa.
Tatueni changamoto ya umeme Mtwara haraka, haiwezekan tatizo wiki nzima halipatiwi majibu niwaombe Sana Tannesco.
Privacy ya mtoa taarifa Ni muhimu Sana. Cjajua kwann mnatakaga namba za simu wakati swala Ni kutoa Taarifa ya kusumbua umeme maeneo tajwa. Ingekuwa Ni ishu yangu binafsi kuwa mita au nyumba yangu umeme unasumbua sawa ningewapa namba
Bila gharama ya nguzo?320k
Boss, sijui kuna tofauti gani katika hizi gharama za kulipia kuvuta umeme wa Tanesco. Nimelipa Tsh. 320,920 kwa huduma hiyo bila nguzo.Unatatikiwa nyumba yako iwe imesukwa mfumo wezeshi wa kuingiziwa umeme(wiring).
Kisha fundi aliefanya kazi akuandalie mchoro wa jinsi wiringi ilivyo na upigwe muhuni na mhandisi(fundi anajua anaupateje)
Kisha unaenda ofisi ya TANESCO iliyo karibu unapewa fomu ya kuomba kuunganishiwa umeme inambatanishwa na mchoro wa nyumba na nakala ya kitambulisho Chako(NIDA au cha kura)
Utasubiri mpaka zamu yako utakapofikia kuunganisha utafanyiwa ivyo.
Gharama zipo za namna mbili elfu 27,000/= kwa umeme wa vijijini REA
elfu 99,000/= kama si wa REA.
Mkuu hiyo ghara 99k siyo kwa miji mikubwa . Miji mikuwa mijini gharama ni 320k ikiwa upo ndani ya mita 30 kutoka kwenye nguzoUnatatikiwa nyumba yako iwe imesukwa mfumo wezeshi wa kuingiziwa umeme(wiring).
Kisha fundi aliefanya kazi akuandalie mchoro wa jinsi wiringi ilivyo na upigwe muhuni na mhandisi(fundi anajua anaupateje)
Kisha unaenda ofisi ya TANESCO iliyo karibu unapewa fomu ya kuomba kuunganishiwa umeme inambatanishwa na mchoro wa nyumba na nakala ya kitambulisho Chako(NIDA au cha kura)
Utasubiri mpaka zamu yako utakapofikia kuunganisha utafanyiwa ivyo.
Gharama zipo za namna mbili elfu 27,000/= kwa umeme wa vijijini REA
elfu 99,000/= kama si wa REA.
.
Mkuu fuata taratibu hizo nilizokuambia huwezi kupigwa pesa.Boss, sijui kuna tofauti gani katika hizi gharama za kulipia kuvuta umeme wa Tanesco. Nimelipa Tsh. 320,920 kwa huduma hiyo bila nguzo.
Sasa hiyo Tzs 27,000 au 99,000 utakuwa unazungumzia Nanjilinji vijijini huko.
Na umwambie asisahau Tzs 20,000 ya surveyor na angalau Tzs 10,000 ya kuambia "yaani tumehangaika kweli kutafuta nyumba yako", "subiri, tunakuja, kuna wengi tunawafungia", "unatoa chai tuje hapo fasta", n.k
Kimsingi kihalali, usipungukiwe na Tzs 330,000
SawaMkuu hiyo ghara 99k siyo kwa miji mikubwa . Miji mikuwa mijini gharama ni 320k ikiwa upo ndani ya mita 30 kutoka kwenye nguzo
Mkuu wewe umeandika reality yenyeweBoss, sijui kuna tofauti gani katika hizi gharama za kulipia kuvuta umeme wa Tanesco. Nimelipa Tsh. 320,920 kwa huduma hiyo bila nguzo.
Sasa hiyo Tzs 27,000 au 99,000 utakuwa unazungumzia Nanjilinji vijijini huko.
Na umwambie asisahau Tzs 20,000 ya surveyor na angalau Tzs 10,000 ya kuambia "yaani tumehangaika kweli kutafuta nyumba yako", "subiri, tunakuja, kuna wengi tunawafungia", "unatoa chai tuje hapo fasta", n.k
Kimsingi kihalali, usipungukiwe na Tzs 330,000
Dodoma tunatoa 340,000/=Boss, sijui kuna tofauti gani katika hizi gharama za kulipia kuvuta umeme wa Tanesco. Nimelipa Tsh. 320,920 kwa huduma hiyo bila nguzo.