Mpendw mteja wetu
Tunaomba taarifa zifuatazo
Jina
Namba ya simu
Na fidia ya eneo au kitu gani

TANESCO MAKAO MAKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Waulize Tanesco Arusha watalujulisheni kuhusu madai ya fidia kwa wateja wake .ambao wamekuwa wakiwazungusha miaka miwili sasa .bila kuwalipa kwa madai nyie Tanesco makao makuu .Mkurugenzi ajasaini cheque

sasa Sijui ni Mkurugenzi amevunjika mikono mpaka apone ndio asaini yaani ni majibu ya kipuuzi sijapata kuona .embu muulize huyo mkurugenzi wako kama hajui kama kuna madai hapo ofisini kwake ya wateja Wa Arusha !!?

Shame on you Tanesco na haswa huyo mkurugenzi mkuu wenu
 
Kwaiyo nyie Tanesco mnachagua maswali ya kujibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hata mimi nimewaza hivyo mkuu! Nimetangulia kuuliza swali kabla sijajibiwa lakini mtu amekuja kuuliza swali dakika chache baadae kajibiwa kwa haraka sana.


Kuna maswali TANESCO hawapendi kuulizwa nadhani
 
Tanesco nimelipia umeme mkoa wa Dsm, wilaya Ilala toka tarehe 10/7/2017 mpaka Leo sijafungiwa umeme tatizo nini
 
Mkoa wa Simiyu watoa elimu ya matumiz bora ya umeme na usalama katika shule za msingi Somanda A na B.

Afisa Uhusiano na Wateja mkoa wa Simiyu ndg Ben Kirumba aliongoza semina hio kwa wanafunzi


TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Majibu sahihi kutoka kwetu yatategemea na ushirikiano kutoka kwako mpendwa mteja kwani Mkoa wetu wa Arusha ni Mkubwa na unapokea taarifa kutoka kwa wateja tofauti tofauti hivyo umgetusaidia taarifa zaidi tukupatie ufafanuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani.nauliza utaratibu wakufunga mita za luku kwenye nyumba ya kupanga ili kila mpangaji awe na luku yake.
 
Jana nimenunu umeme saa tatu kupitia Tigo pesa hadi leo sijaupata! Unanisaidia vipi?
Shukrani.
 
Samahani.nauliza utaratibu wakufunga mita za luku kwenye nyumba ya kupanga ili kila mpangaji awe na luku yake.
Maombi yanafanyika ofisi ya TANESCO iliopo karib na wewe, kumbuka mtu ambae anaweza kuomba mita ya mpangaji ni mwenye nyumba hivyo basi mita ikifungwa haiwezi kuhama itabaki milele kwenye nyumba hio

Mita ya Tanesco haiwezi kuhama pindi mpangaji akitaka kuondoka atachoweza kuondoka nacho ni unit tu

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Jana nimenunu umeme saa tatu kupitia Tigo pesa hadi leo sijaupata! Unanisaidia vipi?
Shukrani.
Tunaomba mita namba yko na kiasi ambacho uliochununua

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Tunaomba namba yako ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa nipo dodoma.nimetoka kidogo kama 3 week ntakuwa nimerudi uko.fuateni maelekezo nilowapatia.nendeni apo bitale -Bweru jaribuni kuhoji raia pale mtapata majibu au nendeni jioni muone giza linavyotawala pale mana.utaanza safari
Mwandiga-umeme upo
Kiganza -umeme upo
Bweru - giza
Bitale-umeme upo
Mkongoro -umeme upo
Karinzi - umeme upo
Mkabogo - umeme upo
Naku endelea adi mpakani mwa tz na Burundi umeme upo.kwanini apa Bweru au ni siasa.eneo ilo semeni wananchi wajue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUKOSEKANA UMEME MKOA WA TEMEKE HUSUSAN ENEO LA MBAGALA

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke linaomba radhi kwa Wateja wake kutokana na kukosekana kwa umeme kutokana na hitilafu kwenye laini ya kurasini mbagala

Mafundi wako kazini ili kurekebisha hitilafu Hiyo.

Maeneo yanayoathirika ni mbagala na baadhi ya maeneo ya yombo

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza

Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano na huduma kwa Wateja
TANESCO -Temeke

16 August, 2017

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Tunaifuatilia mkuu

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Aisee hata mimi nimewaza hivyo mkuu! Nimetangulia kuuliza swali kabla sijajibiwa lakini mtu amekuja kuuliza swali dakika chache baadae kajibiwa kwa haraka sana.


Kuna maswali TANESCO hawapendi kuulizwa nadhani
Hawa Tanesco ni wababaishajitu. Nimeuliza swali Mara ya kwanza sijapewa majibu. Nimerudia kuuliza mpaka sasa kimya.

My take. Jipangeni upya achani ubabaishaji waki ndezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkoa wa Ruvuma wazindua miradi ya REAIII
Tiikite kuyang'asha maisha yenu

TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Mkoa wa Simiyu waendelea kutoa elimu kwa wanafunzi wa shule za msingi Dami Bariadi


TANESCO "Tunayaangaza maisha"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…