Goba centerEneo gani
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka saa ngapi
Nawashukuru TANESCO tatizo langu nililoomba hapa la mita kutokuingia umeme limetatulika Leo. Ahsanteni Sana kwa kulishughulikia kwa wakatiOk nitashukuru Sana mkinifanyia kwa wepesi kwasababu ni sehemu ya biashara. Ni wiki mbili Sasa sifanyi chochote
Sijajibiwa na Tanesco,mmeomba mmepewa kimyaaaa kama kawaidaNamba ya mita 43015518863, eneo Masasi simu 0786832061.
Hata mm niliwapa sifa kupitia humu lkn kumbe hawana UTARATIBU MAALUM wanabahatisha tu!Nawashukuru TANESCO tatizo langu nililoomba hapa la mita kutokuingia umeme limetatulika Leo. Ahsanteni Sana kwa kulishughulikia kwa wakati
Unachangamoto gani?Hata mm niliwapa sifa kupitia humu lkn kumbe hawana UTARATIBU MAALUM wanabahatisha tu!
Hawa wanahitaji msukumo mpya , yaani ukitoa kero hapa aliyeko atapokea na akiondoka anaiacha hapo , ukirudi tena mwingine anakuuliza hayo hayo hivi jiulize.
Mkataba wanasema subiri siku 60 hebu hesabu
27/3/2020 ilipofika tarehe 09/7/2020 ndo wameleta nguzo na kunipigia simu eti hawatachukua muda mrefu.
Hivi huwezi kuleta nguzo na kufunga umeme ? INASIKITISHA SANA.
Silipendi hilo swali kwa sababu mnajua nn ? Mnachopaswa kukifanya kwangu.Unachangamoto gani?
Weka taarifa kamili na namba ya simu tafadhali
Unachangamoto gani?
Weka taarifa kamili na namba ya simu tafadhali
Tunashukuru kwa taarifa tunazifanyia kaziHatua zote nimepitia nasema zote;
1- kujaza fomu
2- kurudisha fomu
3- kulipia huduma
4 - kusubiria kwa mujibu wa mkataba 60 days
5- kukaa muda mrefu bila huduma
6- kukumbushia kupitia jf
7- kuombwa detail
8- kutuma detail jf
9- kuendelea kusubiria
10- kupiga simu Tanesco Mkuranga na kupewa jibu zuri na sahihi. ( Wateja ni wengi walioomba nivute subra)
11- kuendelea kusubiria
12- kuletewa nguzo
13 - kusubiria
13- kutoa Malalamiko jf na kuombwa detail ( nikakataa na kuwataka kuwa serious)
14 - leo tarehe 19/07/2020 wamefika na kusimika nguzo.
Kwa kumbukumbu tu; nimelipia kuunganishiwa umeme toka tarehe 27/03/2020
Nimeletewa nguzo tarehe 09/7/2020
Leo tarehe 19/07/2020 nguzo imesimikwa
Sijui itachukua siku ngapi?
Nimepokea maudhui kama hayo toka kwenu mara kadhaa, wekeni na mrejesho ili muaminike vinginevyo ni majibu ya kwenye desk bila ufuatiliaji.Tunashukuru kwa taarifa tunazifanyia kazi
Tafadhali onyesha namba yako ya simuNi kero ya kutosha huku Arusha hasa Oldadai.
Kila mara umeme hukatika hasa saa za jioni wakati ambao ndo umeme unahitajika Sana kwa ajili ya shughuli za nyumbani.Ukipiga simu kuulizia kulikoni unaambiwa ni hitilafu imetokea au saa zingine simu hazipokelewi!
Ninachotaka kuuliza ni hii hitilafu ya kila siku jioni tu inatoka wapi?
Ina maana hao mafundi wanaoshughulikia hizo hitilafu hawana weledi wa kutosha?
Why always hitilafu?
Tunaomba Tanesco Arusha iangaliwe Kwa jicho lingine.
0754272682Tafadhali onyesha namba yako ya simu
Asante.Tunashukuru kwa taarifa tunaifanyia kazi