TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Ok nitashukuru Sana mkinifanyia kwa wepesi kwasababu ni sehemu ya biashara. Ni wiki mbili Sasa sifanyi chochote
Nawashukuru TANESCO tatizo langu nililoomba hapa la mita kutokuingia umeme limetatulika Leo. Ahsanteni Sana kwa kulishughulikia kwa wakati
 
Hata mm niliwapa sifa kupitia humu lkn kumbe hawana UTARATIBU MAALUM wanabahatisha tu!

Hawa wanahitaji msukumo mpya , yaani ukitoa kero hapa aliyeko atapokea na akiondoka anaiacha hapo , ukirudi tena mwingine anakuuliza hayo hayo hivi jiulize.

Mkataba wanasema subiri siku 60 hebu hesabu

27/3/2020 ilipofika tarehe 09/7/2020 ndo wameleta nguzo na kunipigia simu eti hawatachukua muda mrefu.

Hivi huwezi kuleta nguzo na kufunga umeme ? INASIKITISHA SANA.
 
Unachangamoto gani?

Weka taarifa kamili na namba ya simu tafadhali
 
Tanesco
Mafundi walikuja kutengeneza umeme pindi ulipokatika Ila nkaambiwa kwamba shida ipo kwenye mita
Sasa Nina miezi miwili umeme sipati Kila nkifuatilia mita naambiwa mita hazijafika
Please nisaidienj kwa Hili npo KIBAGA-Kinyerezi
 
Tanesco sina umeme tangu jana na emergency wenu wa kigamboni hawapokei simu..

Tatizo ni umeme umerudi kwenye nguzo. Msaada
Unachangamoto gani?

Weka taarifa kamili na namba ya simu tafadhali
 
Hatua zote nimepitia nasema zote;

1- kujaza fomu
2- kurudisha fomu
3- kulipia huduma
4 - kusubiria kwa mujibu wa mkataba 60 days
5- kukaa muda mrefu bila huduma

6- kukumbushia kupitia jf
7- kuombwa detail
8- kutuma detail jf
9- kuendelea kusubiria
10- kupiga simu Tanesco Mkuranga na kupewa jibu zuri na sahihi. ( Wateja ni wengi walioomba nivute subra)
11- kuendelea kusubiria
12- kuletewa nguzo
13 - kusubiria
13- kutoa Malalamiko jf na kuombwa detail ( nikakataa na kuwataka kuwa serious)
14 - leo tarehe 19/07/2020 wamefika na kusimika nguzo.

Kwa kumbukumbu tu; nimelipia kuunganishiwa umeme toka tarehe 27/03/2020

Nimeletewa nguzo tarehe 09/7/2020

Leo tarehe 19/07/2020 nguzo imesimikwa

Sijui itachukua siku ngapi?
 
Tunashukuru kwa taarifa tunazifanyia kazi
 
Ni kero ya kutosha huku Arusha hasa Oldadai.
Kila mara umeme hukatika hasa saa za jioni wakati ambao ndo umeme unahitajika Sana kwa ajili ya shughuli za nyumbani.Ukipiga simu kuulizia kulikoni unaambiwa ni hitilafu imetokea au saa zingine simu hazipokelewi!
Ninachotaka kuuliza ni hii hitilafu ya kila siku jioni tu inatoka wapi?
Ina maana hao mafundi wanaoshughulikia hizo hitilafu hawana weledi wa kutosha?
Why always hitilafu?
Tunaomba Tanesco Arusha iangaliwe Kwa jicho lingine.
 
Tafadhali onyesha namba yako ya simu
 
Kwa Mbozi Tanesco wanasumbua sana bila chochote huletewi umeme ,ebu mulikeni pale vwawa shida nini watu wamelipia mpaka mita tangu mwezi wa tatu mpaka Leo ,na form zingine zinapotea za kulipia mita pana uzembe mkubwa sana
 
Back
Top Bottom