Tafadhali onyeshaKwa Mbozi Tanesco wanasumbua sana bila chochote huletewi umeme ,ebu mulikeni pale vwawa shida nini watu wamelipia mpaka mita tangu mwezi wa tatu mpaka Leo ,na form zingine zinapotea za kulipia mita pana uzembe mkubwa sana
Ina maana Tanesco hamuioni hii?Kwa yeyote anayehusika hapo Tanesco nikitaka kubadilisha Tariff nifuate utaratibu gani?
Unalazimika kuwa na nyaraka zilizodhibitishwa zinaonyesha uhalali wa wewe kibadili jina kutoka lililopo sasa kwenda lingine mfano miradhi, hati ya manunuzi nkNaomba nijulishwe utaratibu wa kufuata ili nibadikishe jina la mita ya nyumba yangu
Tafadhali onyeshaTanesco kinondoni mnadharau sana kwangu kuna nguzo inatoa cheche Sana nimepiga huduma kwa wateja karibu mwezi sasa na namba ninayo ebu kuweni makini na maisha ya watu
Tafadhali hakikisheni mnapata magari makubwa yakazi maana huku kwetu tmk yombo tanesco walikuwa wanashida sana ya magari mpk kifikia mafundi sometime kutembea kwa miguu mpk wananchi tunawaonea huruma tunawakodia bajaji, mara wakaletewa gari ya green lkn ni kadogo kwa ajili ya meneja tuu hakafai kitu mara tena likaja lingine jeupe nalo ni dogo halifai kitu.
Hebu kuweni serious mnajua shirika ni la kazi mnaleta vigari vidogo seriously?
Waambieni viongozi wenu wawe serious hayo magari mabovu muyauze mnunue pamba mpya, igeni hata kenya.
Tarehe ya malipo: 17/062020Je umelipia lini? Kiasi gani jina namba ya simu na wilaya
Namba ya ripoti ni 1376Tafadhali onyesha
Namba ya taarifa uliyopewa
Eneo
Simu
Tarehe uliyotoa taarifa
Kwa swala hili tafadhali fika ofisi ya eneo lako utaonana na mwasibu husika atakusikiliza na kukupatia ufafanuziNaomba kufahamu,kama una deni la mda mrefu limeachwa na marehemu mume wangu tangu mwaka 2000 na sikulifahamu ilo deni,nikakatiwa umeme nikaenda tanesko wakaniambia nilipe ilo deni nikaanza kulipa.Utaratibu wa mita za luku zilipo ingia ndipo wakaniamishia deni kwenye luku,sasa mpaka leo ni takriban miaka ishirini hadi leo hawajanitaarifu chochote kuhusu ilo deni nilichoambiwa ni kwamba wameniunga kwenye system ya makato ya shilingi 40,000 ambapo inakatwa nusu kwa nusu.SASA MKIWA KAMA TANESCO MNANISAIDIAJE MIMI MTANZANIA MWENYE DENI TAKRIBAN MIAKA ISHIRINI HADI SASA..?
Najua nipo kwenye list ila swali langu nilisema hivi; inachukua mda gani mm kufungiwa baada ya malipo niliyofanya mwezi wa sita tarehe 17?Tunashukuru upo kwenye orodha ya wateja watakaofungiwa umeme tutakufikia