TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kwa Mbozi Tanesco wanasumbua sana bila chochote huletewi umeme ,ebu mulikeni pale vwawa shida nini watu wamelipia mpaka mita tangu mwezi wa tatu mpaka Leo ,na form zingine zinapotea za kulipia mita pana uzembe mkubwa sana
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini
 
Tanesco Tanesco Tanesco Tanescoooooooo, Jamani Tumelipa umeme mwezi wanne huuu. Hakuna kufungiwa umeme wala Nini???
 
Tanesco Tanesco Tanesco Tanescoooooooo, Jamani Tumelipa umeme mwezi wanne huuu. Hakuna kufungiwa umeme wala Nini???
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini
 
Naomba nijulishwe utaratibu wa kufuata ili nibadikishe jina la mita ya nyumba yangu
 
Naomba nijulishwe utaratibu wa kufuata ili nibadikishe jina la mita ya nyumba yangu
Unalazimika kuwa na nyaraka zilizodhibitishwa zinaonyesha uhalali wa wewe kibadili jina kutoka lililopo sasa kwenda lingine mfano miradhi, hati ya manunuzi nk
 
Tanesco kinondoni mnadharau sana kwangu kuna nguzo inatoa cheche Sana nimepiga huduma kwa wateja karibu mwezi sasa na namba ninayo ebu kuweni makini na maisha ya watu
 
Tanesco kinondoni mnadharau sana kwangu kuna nguzo inatoa cheche Sana nimepiga huduma kwa wateja karibu mwezi sasa na namba ninayo ebu kuweni makini na maisha ya watu
Tafadhali onyesha

Namba ya taarifa uliyopewa

Eneo

Simu

Tarehe uliyotoa taarifa
 
Mm nina swali;Je huchukua mda gani kufungiwa umeme endapo umeshakamilisha taratibu zote mpaka malipo?
 
Nimenunua umeme wa elfu ishirini umegoma kabisa kuingia, kila nikiingiza, inaandika rejected 19, nimepiga simu tanesco wamenielekeza cha kufanya lakini ukagoma pia, nimenunua umeme mwingine umeingia, huu uliogoma Tanesco waliniahidi watakuja kuniingizia mpaka Leo hii kimya, nimawapigia tena wakasema niandike barua, nimeandika barua lakini mpaka sasa hawajanijibu, Tukio limetokea mwezi mmoja uliopita, Mahali kivule, wilaya ya ilala, DSM
 
Haya maoni yanahisia sana nahisi yatakua ya mfanyakazi wa tanesco
Tafadhali hakikisheni mnapata magari makubwa yakazi maana huku kwetu tmk yombo tanesco walikuwa wanashida sana ya magari mpk kifikia mafundi sometime kutembea kwa miguu mpk wananchi tunawaonea huruma tunawakodia bajaji, mara wakaletewa gari ya green lkn ni kadogo kwa ajili ya meneja tuu hakafai kitu mara tena likaja lingine jeupe nalo ni dogo halifai kitu.

Hebu kuweni serious mnajua shirika ni la kazi mnaleta vigari vidogo seriously?

Waambieni viongozi wenu wawe serious hayo magari mabovu muyauze mnunue pamba mpya, igeni hata kenya.
 
Naomba kufahamu,kama una deni la mda mrefu limeachwa na marehemu mume wangu tangu mwaka 2000 na sikulifahamu ilo deni,nikakatiwa umeme nikaenda tanesko wakaniambia nilipe ilo deni nikaanza kulipa.Utaratibu wa mita za luku zilipo ingia ndipo wakaniamishia deni kwenye luku,sasa mpaka leo ni takriban miaka ishirini hadi leo hawajanitaarifu chochote kuhusu ilo deni nilichoambiwa ni kwamba wameniunga kwenye system ya makato ya shilingi 40,000 ambapo inakatwa nusu kwa nusu.SASA MKIWA KAMA TANESCO MNANISAIDIAJE MIMI MTANZANIA MWENYE DENI TAKRIBAN MIAKA ISHIRINI HADI SASA..?
 
Tarehe ya malipo: 17/062020
Kiasi cha malipo:27,000/=
Jina:Gabriel Aloyce Riwa
Number:0752303156
Wilaya:Moshi vijijini
Tunashukuru upo kwenye orodha ya wateja watakaofungiwa umeme tutakufikia
 
Naomba kufahamu,kama una deni la mda mrefu limeachwa na marehemu mume wangu tangu mwaka 2000 na sikulifahamu ilo deni,nikakatiwa umeme nikaenda tanesko wakaniambia nilipe ilo deni nikaanza kulipa.Utaratibu wa mita za luku zilipo ingia ndipo wakaniamishia deni kwenye luku,sasa mpaka leo ni takriban miaka ishirini hadi leo hawajanitaarifu chochote kuhusu ilo deni nilichoambiwa ni kwamba wameniunga kwenye system ya makato ya shilingi 40,000 ambapo inakatwa nusu kwa nusu.SASA MKIWA KAMA TANESCO MNANISAIDIAJE MIMI MTANZANIA MWENYE DENI TAKRIBAN MIAKA ISHIRINI HADI SASA..?
Kwa swala hili tafadhali fika ofisi ya eneo lako utaonana na mwasibu husika atakusikiliza na kukupatia ufafanuzi
 
Tunashukuru upo kwenye orodha ya wateja watakaofungiwa umeme tutakufikia
Najua nipo kwenye list ila swali langu nilisema hivi; inachukua mda gani mm kufungiwa baada ya malipo niliyofanya mwezi wa sita tarehe 17?
 
Ninajaribu kuingiza umeme ila inaandika hivyo na umeme hauingii. Nini tatizo?
JPEG_20200723_165906_9063132250178055829.jpg

Sent from my Nokia 2.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom