Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Umelipia kwa jina ganiTanesco makao makuu nawaomba muwafatilie Tanesco kigoma nimelipia kila kitu hawataki kuja kuweka umeme.
Naomba muwaambie ninawandalia hela ya takukuru na Ni lazima nitawachomesha Kama sio takukuru itakuwa raisi labda asitembelee kigoma.
Hili nawaapia wapelekeeni taarifa. Hiki ni kilio Cha Mamia ya wanakigoma.
Mkuu Sina haja ya kutoa namba ya simu ila nawaomba muwaambie Tanesco kigoma mjini waache ukanjanja Dawa Yao inachemka.Umelipia kwa jina gani
Wilaya
Simu
Tarehe ngapi
Endapo unaona kuna mtu anakuokba rushwa usisite kutoa taarifa TAKUKURU
Umelipia kiasi gani na lini ndugu mteja. Pia tunaomba kujua taarifa zako ulixotumia wakati wa kuomba kuunganishiwa umemeTanesco miezi mi nne Sasa imekamilika bila kuletewa umeme. Aiseee inaleta shida Sana.
Nawaomba Tanesco Ungeni Juhudi za Mweshimwa Rais Kwa vitendo ili kuendana na Kasi ya kuleta Maendeleo nchini.
Yaani kiukweli sio sawa kabisa tunaomba umeme...
Tafadhali onyeshaHivi tenesco nimelia humu miaka karibia mitatu lakini mligoma katakata kusikia kilio changu, mmenipa ahadi zisizotizika hadi nimekata tamaa? Sawa nyie endeleeni tu lakini kumbuka sote ni watanzania tunastahili kuhudumiwa tu kwa usawa.
Tafadhali onyesha namba yako ya simuHuku Msongola jimbo la Ukonga Daresalaam hatuna umeme tangu kunakucha mpaka mchana huu!!
Tatizo ni nini!? Na mbona hambadiliki kwa haya mambo ya kukatakata umeme bila taarifa tena kwa muda mrefu hivi?
*KUOMBA RADHI KWA KUKOSA HUDUMA YA UMEME.*Tafadhali onyesha namba yako ya simu
Namba ya simu ya kwangu ya nini!?Tafadhali onyesha namba yako ya simu
Tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa hatua zaidiTANESCO KUNA SHIDA GANI YA UMEME SIKU YA PILI SASA HATUNA UMEME UBUNGO BUSSINESS PARK NA NI ENEO LA VIWANDA NCHI YA VIWANDA ITAFIKA KWELI NAMNA HII????????HALAFU MUWE MNATANGAZA BASI TUJUE KWAMBA KWA SIKU KADHAA HAKUTAKUWA NA UMEME