kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,060
Tunaomba sana mtusaidie huduma ya umeme iwe stable. Umeme ni uti wa mgongo wa uchumi wa watu wengi huku mijini.Tusaidieni Kimara na maeneo mengine yote ya Dar tuwe na huduma ya umeme ya uhakika. Tunatumia sana umeme. TANESCO ,Tunatambua changamoto za eneo husika tunachukua hatua stahiki
Tafadhali onyeshaJana nimetoa Malalamiko yangu kwenye special thread ya TANESCO lakini sijajibiwa, na leo jamaa wameanza kukata tena umeme bila taarifa. Hii ni kero kubwa sana.Lkn tarehe 28,najua cha kufanya,maana bila kushituliwa hata kidogo hamuwezi kushituka.
Njombe mji,katika Mtaa wa Ramadhani,tatizo hili ni kwa nyumba nyingi,sio moja.Tafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka saa ngapi
Kwa hatua zaidi
Tafadhali onyeshaHivi hizi namba zenu za emergency 0715768589/0684001068 zina watu maalum ambao mnawapokelea au huduma inawaelemia maana hata ukipiga una serious problem haipokelewi...
Sasa Kama mna upungufu wa watumishi toaeni ajira hapo emergency maana ufanisi wa kazi unapungua
Nasubir jibu LA hapaNataka kubadilisha tariff nafanyaje? Muongozo tafadhali
TAREHE 16/September/2020Tafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Umelipa lini
Kwa hatua zaidi
Ndugu, naona suala langu imekuwa gumu kufanyiwa kazi, badala yake 'napigwa viswahili' tu.Umelipa lini kwa jina gani namba ya simu tafadhali