kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,060
Tunaomba sana mtusaidie huduma ya umeme iwe stable. Umeme ni uti wa mgongo wa uchumi wa watu wengi huku mijini.Tusaidieni Kimara na maeneo mengine yote ya Dar tuwe na huduma ya umeme ya uhakika. Tunatumia sana umeme. TANESCO ,Tunatambua changamoto za eneo husika tunachukua hatua stahiki
Nashauri muuchukulie mkoa wa Dar kama eneo maalum lenye kipaumbele maalum.