Tafadhali onyesha eneo na namba ta simu kwa hatua zaidiMeneja wa Tanesco Monduli awajibike kwa athari zozote zitakazotokea. Watu wameripoti kuhusu miti iliyoko karibu Na Nyumba zao inagusa waya Na kutoa moto Mara kwa mara wakiomba ushirikiano wa kuikata hakuna kinachofanyika wengine report ni mwaka sasa
Tafadhali onyesha namba ya simu na namba ya mita kwa hatua zaidiTatizo lilianza nilipofungiwa mita ,alikuja mfanyakazi wenu kuunganisha umeme sasa baada ya kufanya kazi akamwambia wife ampe chochote ili mita isiwe inakula unit,qkadai apewe 70000 ,wife akamgome yule bwana akaomba ngazi akapanda juu ya mita sasa sijui aliichezea vipi akashuka nakuondoka zake akqmwambia wife nnajua utanitafuta tu akadai kuwa si ameona 70000 ni nyingi ataona,ndugu zangu tokea siku hiyo utafikiri ninakiwanda humu ndani ,wakati ni tv,taa zipo 9 na frigde lakini umeme wa elfu 50 haumalizi siku kumi yaani,baada ya kufuatilia saana ikaonekana yule jamaa alitapeli sehem nyingine na kashafukuzwa kazi ila sasa nikaelekezwa kuandika barua mpaka wa leo ni maumivu kabisa,ninakaa madale tunahudumiwa na wilaya ya ubungo,mtaa wetu unaitwa kwa mzungu.
TANESCO kila nikitoa malalamiko yangu unaniambi mnafanyia kazi week sasa imeisha sijapata majibu kutoka kwenu wala kupewa taarifa ya chochote kuhusu malalamiko yanguAhsante kwa taarifa tunafanyia kazi
tafadhalo onyesha namba ya simu wilaya na eneo kwa hatua zaidiPugu Mwakanga toka jana tarehe 02/02/2021 saa nne usiku mpaka sasa ninapoandika message hii hakuna umeme, shida ni nini? Nikafikiri labda mtatoa taarifa lakini kimya
Naona umeme ndo umerudi sasa hivitafadhalo onyesha namba ya simu wilaya na eneo kwa hatua zaidi
Kaka hiyo ni kwanzia pugu, majohe, kigogo, mpaka chanika mwisho ,leo ni siku ya 3 hamna umeme kabisa..Pugu Mwakanga toka jana tarehe 02/02/2021 saa nne usiku mpaka sasa ninapoandika message hii hakuna umeme, shida ni nini? Nikafikiri labda mtatoa taarifa lakini kimya