Kukatika kwa umeme eneo la kariakoo kwa siku ya jana ma leo niwaambie tu Tanesco ni uzembe wa hali ya juuasante mkuu
Nashukuru Leo wamejihimia asabuhi na wamerekebisha. Ila tumeteseka Sana tulijua tatizo ni kubwa kumbe wamefika tu na kurekebishaTafadhali onyesha namba ya simu kwa hatua zaidi
Kariakoo mtaa wa uhuru na kongo hakuna umeme unapandisha mpaka msimbazi na lindi hakuna umeme mpaka kamata hakuna umemeEneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali
tumepomea taarifa kwa hatua zaidiHabari wapendwa!poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa....
Shida yangu mimi ni msaada wa haraka na wadharula katika kupata contro number ili niweze kulipia na niwekewe umeme shida hii ni ya muda mrefu na kama ujuavyo katika hizi ofisi zetu za uma huwa kunakuwa na danadana nyingi
Niliwashilisha fomu tangu tangu mwezi wa kwanza mpaka baadae nikaambiwa haiyonekani hivyo nikaanza upya kuijanza nikaambiwa nisubiri siku tatu nitakuwa nimepata sasa hayo ndio maneno ambayo nimekuwa nikiambiwa karibu kila siku na mpaka jana nimetoka huko huko majibu ninayopewa hayana afya
Kuna mahali nimeona msema ndani ya siku 7 mpaka 10 zaa kazi mpk mnakuwa mmeshamfungia mteja mita no naombeni sana kwenye hili mlifanyie kazi kwa haraka
Naitwa christiani g majengo
Dar es salaam
Wilaya ilala
Mvuti kidole
No 0655780270
0783721337
Naomba niwakumbushe tu ofisi yenu mpya ipo chanika na yule surveyor anaitwa bungala
Je ni eneo gani haswaHabari, TANESCO nina swali nahitaji kupata toka kwenu.
Huku kukatika kwa umeme hovyo bila sababu ya msingi wilayani Mpwapwa mna mpango gani na wananchi wa eneo hili? Hakuna uhakika wa umeme katika wilaya kubwa na kongwe kama hii. Biashara za watu zinaharibika huku nyingine zinakufa kwa sababu yenu. Hii ni aibu kwa kweli. Hamu watendei haki wananchi wa hapa.
CC TANESCONasikitika hadi sasa Tanesco - mkoa wa Tabora hasa Tabora mjini bado mnafanya mambo ya urasimu, watu ni wengi sana waliiomba kupatiwa huduma ya umeme na shirika likatoa tathmini ikiwemo namba ya malipo (control number) watu wamelipa lakini kupatiwa huduma ya umeme inashindikana, visingizio vyenu vimekuwa nguzo hazipo, hilo suala la nguzo ni uongo, ukienda kata ya kiloleni kwenye ofisi yeni nyingine kuna nguzo nyingi sana (nimeambatanisha picha)....pia tofauti na kiloleni, maeneo mengi nguzo zipo chini tu zimelala
View attachment 1682002
1. Kwanini mnashindwa kuwapa wananchi haki yao na pesa yao mmechukua??
2. Kama mlikuwa hamna nguzo na tathmini mmetoa ikiwemo malipo pamoja na kulipia nguzo halafu mtu akilipa hapati huduma??
3. Kama huduma inashindikana kwa wkati msitoe control namba mtu alipie hadi mtakapokuwa mmejipanga