TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Malipo yote yanapitia mfumo wa Serikali.
Screenshot_20210216-120957_Twitter.jpg
 
Tanesco Mimi Nina very serious concerns kwenye your overall strategy ya kusambaza umeme kea investors

Kwakweli bado sanaaaaaa.... Mwekezaji kupata umeme imekua Kama kumng'oa mtu magego
 
Tanesco Mimi Nina very serious concerns kwenye your overall strategy ya kusambaza umeme kea investors

Kwakweli bado sanaaaaaa.... Mwekezaji kupata umeme imekua Kama kumng'oa mtu magego
Je ni eneo gani?

Simu

Tatizo tafadhali
 
Habari wapendwa!poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa....

Shida yangu mimi ni msaada wa haraka na wadharula katika kupata contro number ili niweze kulipia na niwekewe umeme shida hii ni ya muda mrefu na kama ujuavyo katika hizi ofisi zetu za uma huwa kunakuwa na danadana nyingi

Niliwashilisha fomu tangu tangu mwezi wa kwanza mpaka baadae nikaambiwa haiyonekani hivyo nikaanza upya kuijanza nikaambiwa nisubiri siku tatu nitakuwa nimepata sasa hayo ndio maneno ambayo nimekuwa nikiambiwa karibu kila siku na mpaka jana nimetoka huko huko majibu ninayopewa hayana afya

Kuna mahali nimeona msema ndani ya siku 7 mpaka 10 zaa kazi mpk mnakuwa mmeshamfungia mteja mita no naombeni sana kwenye hili mlifanyie kazi kwa haraka

Naitwa christiani g majengo
Dar es salaam
Wilaya ilala
Mvuti kidole
No 0655780270
0783721337

Naomba niwakumbushe tu ofisi yenu mpya ipo chanika na yule surveyor anaitwa bungala
 
Habari, TANESCO nina swali nahitaji kupata toka kwenu.

Huku kukatika kwa umeme hovyo bila sababu ya msingi wilayani Mpwapwa mna mpango gani na wananchi wa eneo hili? Hakuna uhakika wa umeme katika wilaya kubwa na kongwe kama hii. Biashara za watu zinaharibika huku nyingine zinakufa kwa sababu yenu. Hii ni aibu kwa kweli. Hamu watendei haki wananchi wa hapa.
 
tumepomea taarifa kwa hatua zaidi
 
Je ni eneo gani haswa

Namba ya simu

Tafadhali
 
Kariakoo mtaa wa uhuru na kongo hakuna umeme unapandisha mpaka msimbazi na lindi hakuna umeme mpaka kamata hakuna umeme
0622 901670
Tumetoa tangazo huku kuna kazi inaendelea mpaka saa 10 jioni
 
Nasikitika hadi sasa Tanesco - mkoa wa Tabora hasa Tabora mjini bado mnafanya mambo ya urasimu, watu ni wengi sana waliiomba kupatiwa huduma ya umeme na shirika likatoa tathmini ikiwemo namba ya malipo (control number) watu wamelipa lakini kupatiwa huduma ya umeme inashindikana, visingizio vyenu vimekuwa nguzo hazipo, hilo suala la nguzo ni uongo, ukienda kata ya kiloleni kwenye ofisi yeni nyingine kuna nguzo nyingi sana (nimeambatanisha picha)....pia tofauti na kiloleni, maeneo mengi nguzo zipo chini tu zimelala

View attachment 1682002

1. Kwanini mnashindwa kuwapa wananchi haki yao na pesa yao mmechukua??
2. Kama mlikuwa hamna nguzo na tathmini mmetoa ikiwemo malipo pamoja na kulipia nguzo halafu mtu akilipa hapati huduma??
3. Kama huduma inashindikana kwa wkati msitoe control namba mtu alipie hadi mtakapokuwa mmejipanga
CC TANESCO
 
Tanesco mnatesaa sanaa sinza

Tuko makaburini mita imegoma kuungia ymeme

Mnatuma mtu anakuja anaondoka na kuomba namba baadae tunapiga mnasema kuna namba tutatumiwa toka jana mnaombwa msaada kuna malipo yanahitajika amaaa

. Maraya kumi mdahuuu bado mnasema tutatuma namba tumechkka

Tunaomba msaada wenu tuna watoto wachanga pls

0745246391

Tufashukuru kwa msaada wenu pls
 
Inahuzunisha sana leo siku ya tatu mnaleta mtu anatufanya watoto mtatumiwa namba za kuingiza

Tumewajuza mt imegoma kuingia umeme leo tumrmwaga vitu kwa fridge kisa umeme kweli

Tuna watoto wachanga jamani msaada pls

Shida ikowapi jamani

Tunaomba msaada wenu pls

0627789702
 
Tanesco mnatesaa sanaa sinza

Ahsante kwa taarifa imepokelewa kwa hatua zaidi
 
Back
Top Bottom