Ahsante kwa taarifa tunaifatilia kwa hatua zaidiTANESCO suala la umeme maeneo ya zingiziwa CHANIKA nyuma ya hospital ya zingiziwa vipi ? Mmeweka vile vialama vyenu vya vijiti hadi vimepotea, mmeshusha nguzo NGOBEDI je sisi wa ZINGIZIWA tusubiri hadi lini?
Eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhaliTANESCO Tanga kuna tatizo gani!? Umeme unakatika kila siku jana umekatika saa 9 mpaka saa tatu na nusu usiku, na leo umekatika tena bila taarifa na tukipiga simu zenu kuulizia zinakua busy aall the time au haziendi! Please help! Au atleast mtueleze shida ni nini na ni tatizo la mda gani ili tujipange!! Asante
Tafadhali tutumieTANESCO kwanza nawapongeza kwa kuja na huu mfumo wa kuwafikia wateja kupitia JF.
Naomba namba ya Tanesco kituo cha Tegeta.
Niliahidiwa kuwekewa umeme ndani ya siku 30 za kazi lakini hadi wakati huu hakuna taarifa yeyote.
Mbaya zaidi, sihitaji nguzo yeyote zaidi ya service line tu. Umbali ni chini ya meter 30 tokea nguzo ilipo na nyumba.
Shukrani
kwanini mmekata umeme zaidi ya masaa 6 Kimara Bonyokwa yote ? wengine tunategemea huo umeme kuendeshea life, acheni ujingaTafadhali tutumie
Jina
Eneo
Simu
Umelipa lini
Kwa hatua zaidi
KITUO CHA MIITO YA SIMU/CALL CENTRETanesco wekeni namba zenu hapa tuwapigie moja Kwa moja tuwape kero ila Mimi kuweka namba humu siwezi ng'o
inaonekana ni mgao, sisi walikata asubuhi mpaka iyo saa 12, yaelekea nyie utarudi asubuiHivi jaman nyie tanesco mnavokata umeme Ilala gongo la mboto kuanzia jion saa kumi na mbili mpk saa hizi mnategemea tutalalaje na joto hili la dar???