Habari, button za hiki kidude zimekuwa ngumu mno. Zilianza chache lakini Siku hadi siku zinaongezeka button nyingine.

Naweza nkatumia hadi dakika 20 kuingiza umeme.

Hili tatizo linatatuliwaje?

Cc: TANESCO
 
Tanesco muleba shamba kagera sio vizur mi nimelipia umeme toka mwezi wa tisa lakini mpaka now sijawashiwa sio vizur kabisa number yangu ni 0758320572
 
Tanesco muleba shamba kagera sio vizur mi nimelipia umeme toka mwezi wa tisa lakini mpaka now sijawashiwa sio vizur kabisa number yangu ni 0758320572
Asante tumeipokea
 
Habari!mita yangu ni mpya napenda kujua kama nikinunua umeme wa elfu tisa mia moja hamsini(9150)je nitapata hizo UNIT 75?
 
TANESCO hivi kimara mwisho tumewakosea nini nyinyi?Kimara mwisho kuna tatizo gani...Kimara mwisho kuna nini kisichotengenezeka?kwanini blakouts haziishi huku?Mmetula wiki mbili mmeanza tena mambo yenu.Nini hiki kisichomalizika moja kwa moja miaka nenda miaka rudi?
Kimara mwisho line inayolisha dawasco na TRA kwanini umeme unakatika sana miaka na miaka tukilalamika unatulia wiki tu mnaanza tena.Kuna shida gani line hii?
Na ndio laini inayolisha mji wa Kimara upande wenye uwekezaji wa kibiashara so u can see hasara mnazosababisha kwa wananchi wenye biashara zao nyingi maeneo haya.Hivi hamuoni aibu lakini?mbona maeneo mengine kunatuliaga mda mrefu kwanini Kimara tatizo haliishi miaka mingi?
Angalia mnatukosesha hata kushihudia mazishi ya Rais wetu.
Mnatia hasira sana nyinyi watu.
Unajua sio vizuri kufanya kazi huku watu wanasononeka juu yako.Endeleeni tu mnachotafuta soon mtakipata.
 
Hawa jamaa wanatia hasira sana kwakweli watu tumejipanga kukaa majumbani wanakata ni shida hawa watu

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Home boy wa JPM ameliwa kichwa huko....hatutaki msiba mwingine, wasije pata stroke
 
Tanesco zamu yenu kuachia ngazi temeke jana mmekata hamjaridhika na leo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…