Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 680
- 421
Kwakweli Zamani Tanesco na mashirika mangine ya serekali huduma zilikua mbovu Sana, mteja ukifika kusikilizwa ni shida, Kila mtu yupo busy na Mambo yake, ila kwa Sasa kweli Mambo yamebadilika. Hasa nitoe pongezi kubwa kwa Tanesco, juzi need likua na shida nikalazimika kufika Tanesco Handeni, Yani kuanzia getini unapata good welcome, ndani Kila mtumishi anakusikiliza kwa wakati , mnyonge mnyongeni lakini hakiyake mpeni. Tanesco sasahivi wako vizuri Sana, na hasa Handeni ni powa Sana, congole kwenu kwakweli.Asante, ulianzishwa uzi kwa ajili hiyomkuu upo hapaJF
Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi tafadhalimimi nilitoa lalamiko langu lenye kumbu kumbu TB_3609 ya tarehe 25/01/2025....kwenye tawi la Tanesco Tabata....tatizo lilikuwa mita kuwa chakavu vibonyezeo vimeharibika vinafanya kazi kwa shida sana....umeme ukiisha inakuwa ngumu kuingiza umeme...tatizo hilo nililiripoti tokea tarehe 25/1/2021 yani hadi leo hakuna fundi alie kuja kuangalia tatizo...hapa najipaga kulipeleka tatizo langu kwa katibu mkuu ambae i rafiki yangu mkubwa...nita hakikisha nawafundisha adabu kuanzia kitengo cha huduma kwa wateja hadi maofisa wengineo...aiwezekani tulipie huduma harafu watumishi mshindwe kuja kutupa huduma stahiki kwa muda stahiki....
Tumepokea ushauri wako tafadhaliHabari TANESCO
Hii post nimeirudia kwa msititizo kwani niilipost tena nafikiri mwaka jana
Niliwashauri mnunue technologia ya kuwezesha mteja akinunua token iende moja kwa moja kwenye mita yake...Naamini hii ni technologia niya kawaida ambayo hata hapa nyumbani ( TZ) wanaweza kutengeneza;
1. Imagine umeacha watoto nyumbani umeme uishe
2. Imagine umeme umeisha usiku wa manane na mita ipo nje
3. Imagine umeme umesha usiku wa manane na huna battery za kuweka kwenye kile kimita cha vocher
4. Imagine unataka kukwawekea wazee umeme kijijini ( wazee wa miaka 70+ wataweza kuona tarakimu 20 kwa simu ya tochi?
Mambo ni mengi sana yaani ukifikiria vizuri utaona kuna kitu hakipo sawa kwenye technologia
Nafikiri lengo lisiwe kufikia watu wengi pekee...liwe ni pamoja na maboresh ya huduma
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi tafadhali
Tunashukuru sana kwa taarifa mpendwa mteja wetuView attachment 1742224
asante kwa msaada kesi yangu ya tarehe 25/january/2021 umenisaidia leo mafundi wameenda...ubarikiwe sana japo bado nina hasira nao ila nitawafanyia uchunguzi mwingine ambao utashusha ama kuongeza hasira yangu...ila kwa kesi namba TB_3609 umewasaidia...hukumu nimelegeza...
wajichunguze wenyewe na wabadilike....kuna watanzania mamilioni awana kazi...hivyo kuwaondoa hao wachache hakupunguzi kitu.....
be blessed...
Mteja halipii nguzo bali alipia gharama halisi ya kuunganishiwa umeme na kama eneo lako linahitahi nguzo unapaswa kusubiri miundombinu ikufikieHivi naomba kujua @TANESCOumeme wa rea nguzo moja mnauzaje maana mamaangu kaambiwa nguzo moja laki nne kuvuta hadi nyumbn kwake, ni huku huku buhigwe.