Kwanini msiruhusu wawekezaji kwenye mita kama nyie zinawashinda? Mama kasema mnapokwama ombeni msaadaTANESCO mnatuangusha sana...nimejenga nyumba ya kupangisha nimemaliza nasubiri umeme wapangaji waingie lakini TANESCO KIGAMBONI hawaeleweki nimelipia kila kitu...nikiiangalia nyumba naumia sana ...
Je umelipia kiasi lini? Kwa jina gani na namba ya simu tafadhaliTANESCO mnatuangusha sana...nimejenga nyumba ya kupangisha nimemaliza nasubiri umeme wapangaji waingie lakini TANESCO KIGAMBONI hawaeleweki nimelipia kila kitu...nikiiangalia nyumba naumia sana ...
Nimelipia 27,000 nguzo iliopo kwenye kiwanja changu ni ya umeme wa REA..sasa nikifatilia kuulizia nikisema REA tu.. basi ni kupigwa mpira tuJe umelipia kiasi lini? Kwa jina gani na namba ya simu tafadhali
Hili shirika hakika lingepata mshindani, nionavyo wako usingizini kwakweli, Ni shida
Nimekufata inbox na taarifa unazohitaji...Weka taarifa zote tulizouliza iwe rahisi kuona taarifa zako tafadhali
Mkuu, wilaya ya mbogwe ktk mji wa masumbwe yapata wiki sasa tuna tatizo kubwa la Umeme, yaani Umeme ukirudi nusu saa unakatika tena masaa matano, kwa sisi wajiriamali tunaotegemea Umeme vipato vyetu vimeyumba kabisa, kiasi kwamba tumeanza kumkumbuka rais magufuli mapema sana make ktk utawala wake hatukuwahi kupata kero za namna hii.Tafadhali fika na umeme huo ofisi za eneo lako kuna form maalumu utajaza kwa hatua zaidi
Tunashukuru kwa taarifa tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidiMkuu, wilaya ya mbogwe ktk mji wa masumbwe yapata wiki sasa tuna tatizo kubwa la Umeme, yaani Umeme ukirudi nusu saa unakatika tena masaa matano, kwa sisi wajiriamali tunaotegemea Umeme vipato vyetu vimeyumba kabisa, kiasi kwamba tumeanza kumkumbuka rais magufuli mapema sana make ktk utawala wake hatukuwahi kupata kero za namna hii.
Mimi nasubiri jibu lako kama umeme nitapata hivi karibuni au nisubiri July ukoTunashukuru kwa taarifa tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi
Asante sana O767877767Tunashukuru kwa taarifa tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji zaidi
Je umeuziwa wapi? Hakuna mteja anayepaswa kulipia nguzo bali mteja analipia gharama za kuunganishiwa umeme
Je umeuziwa wapi? Hakuna mteja anayepaswa kulipia nguzo bali mteja analipia gharama za kuunganishiwa umeme
Tafadhali onyesha Kimara eneo gani na namba yako ya simuTANESCO Kimara kama kawaida yao.
Jinsi mlivyo mahiri katika kuvuruga mambo.
Mmesubiriiii leo sikukuu watu wako misikitini na kwenye sherehe mmezima umeme.
Usiku saa nane mlikata,asubuhi hii mmekata tena.
Watanzania mko vizuri sana kwenye mambo haya.
You are best at this!Congratulations.
Umerudi sasa hivi.Tafadhali onyesha Kimara eneo gani na namba yako ya simu
Ndugu mpendwa Mteja wetuKuunganishiwa umeme huchukua muda gani kutoka siku mtu aliyolipia?..