Makadirio ni sh ngapi na huwa mnapima nini? Nataka kujua tu kwanza vitu vitakavyohitajika na garama zake kabla ya kujaza form.Chukua form kwanza tukupimie ndio tukupatie gharama halisi mpendwa mteja wetu
Luku yangu nimeomba nibadilishiwe muda mrefu maana ni toleo la zamani zile za ku punch lakini wapi, wanakuja wanapokua wanakagua meter lakini haibadili, sasa imefikia hatua niki punch luku number nilizonunua kuna number button fulani hazikubali, naona nije huku labda ntapata Masada maana hii luku iliyokubali kuingia ikiisha sina umeme maana kuna nilio nunua kwa hofu imekataa kuingia, NAOMBA MSAADA HARAKA! Namba yangu 0754844565 nakaa mikocheni
Ndugu mpendwa Mteja wetuNARUDIA KUSEMA TENA TANESCO SASA HIVI MMEKUWA TAKATAKA KABISA....USIKU KUCHA MMEKATA UMEME HUKU KIMARA MPAKA ASUBUHI HII WATU WATU WANATAKA KUJIANDAA HAMNA UMEME.....UNAKERA SANA NYIE WATU[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Waziri kasema Bungeni kuwa kuunganishiwa Umeme ni elfu 27 iwe kijijini au mjini? Hili Mnaanza lini kulifanyia kazi Tanesco au ni siasa tu za Bungeni?Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako...
Kutenganisha mita mnapima nini?Chukua form kwanza tukupimie ndio tukupatie gharama halisi mpendwa mteja wetu
Napenda kuwapongeza Tanesco kwa uamuzi wa busara wa kuona umuhimu wa kuunga umeme mijini na vijijini kwa shilingi 27,000 tu naona watu watajiunga sasa,angalizo mumejiandaa na mafuriko ya wateja? Isijetena hatuna nguzo au nyaya tunazidi kule kule kuwa mwenye nguvu ndiyo anapata umeme.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako..
RC Chalamila atawawekea nyote Kesho.Ingawa wetu wengi wamejitahidi kujenga majumba mazuri tatizo umeme wa tanesco hauwafikii
Maeneo kama Sawa, Nyashishi, Nyamongoro, Bukaga, Kangae, Ilalila, Kakebe, Kishiri, fumagila kwa kutaja baadhi maeneo hayo wetu wamejenga majumba ya kifahari changamoto ni umeme haupelekwi waziri tunakuomba uishtueshutue tanesco ya mwanza jiji