Tusaidie namba yako ya mita tafadhali, je wiring imefanyika toka lini
 
Habari Tanesco Tz
Nimejaza fomu ya maombi ya umeme tokea tarehe 19 may 2021na kuambatanisha kila kinachohitajika kulingana na utaratibu, nikaambiwa baada ya siku za kazi 14 ntapigiwa simu na saveya lakin had leo kimya tatizo nini au utaratibu umebadirika?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Tafadhali tuonesha namba ya simu, Wilaya gani kwa hatua zaidi
 
nimenunua luku toka asubuhi sijapata namba za unit mpaka saizi na hela ime enda kwenye mita namba 24219605151
 
Changamoto ya nguzo kutokufika eneo la Kasinozo ni nini?

Eneo LA Kasinozo ni kati ya maeneo katika kijiji cha Maguge - Karagwe na wakati umeme upo Kiyanga - Karagwe umbali kidogo kufika Maguge.

Ivyo TANESCO tupeni utaratibu juu ya jambo hilo.
 
Changamoto ya nguzo kutokufika eneo la Kasinozo ni nini?

Eneo LA Kasinozo ni kati ya maeneo katika kijiji cha Maguge - Karagwe na wakati umeme upo Kiyanga - Karagwe umbali kidogo kufika Maguge.

Ivyo TANESCO tupeni utaratibu juu ya jambo hilo.
Je mpo umbali gani? Namba yako ya simu tafadhali
 
Je mpo umbali gani? Namba yako ya simu tafadhali
Habari TANESCO nilikua naomba Kuna uwezekano nikaingiza umeme nje mita, maana mita yangu imegoma kubonyezeka namba 4.
Sasa nikinunua umeme inawezekana ukaingia nje ya hii mita .

Na je tatizo hili la mita kuharibika kwa kutokubonyeka kwa namba linatengenezeka au Ni mpaka ibadilishwe mita nyingine.

Na pia Kama hamtajali ningeomba na garama zake, Kama Ni kutengeneza au kubadilisha itanigarimu kiasi gani . Na pia muda gani itachukua?

Natanguliza shukrani na kuwatakieni kila jema.
 
Habari TANESCO, je boma ng'ombe kuna mgao wa umeme au kuna tatizo kubwa la umeme au kuna shida gani inayopelekea kukosekana kwa umeme kwa masaa zaidi ya 20 kwa zaidi ya siku tatu kila siku..na hakuna taarifa yoyote hadi sasa.
 
Tanesco kuchelewesha kuunganishia umeme wananchi nahesabia kama ni kosa la uhujumu uchumi. Sasa hivi Kodi za nyumba zitalipwa kwa LUKU,sasa kama nyie Tanesco mnasuasua kuwaunganishia Umeme watu kwanini msihesabiwe kama wahujumu uchumi?

Unganishieni umeme watu wengi zaidi ongezeni kasi ili Kodi ya majengo iongezeke mara dufu.
 
Tafadhali onyesha umelipia lini? Wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidi
 
TANESCO jumanne tarehe 15-06-2021 nimefika ofisini kigamboni, meneja akaniambia meter za REA bado hazijafika...siku hiyo hiyo jirani yangu alikuwa anaweza wiring kwake..leo alhamisi tarehe 17-06-2021..jirani yangu kaja na jamaa wa Tanesco kafungiwa meter...mimi nimelipia toka tarehe 23-04-2021 na bado nipo bench.

Manager Kigamboni expect me tomorrow, mpaka TAKUKURU nitaenda sitakubali
 
Tanesco naombeni kujua gharama za kufungiwa mita lluku ya 2 kwenye. Nyumba
 
TANESCO nimenunua unit na luku yangu ilikua bado haijaisha,nilikua nazo 11 nikaongeza 28..zikawa 39.
umeme umekatika kabisa hapo hapo nilipoongeza t ingawa unit znasoma,
Hili tatzo gani.
Na mnanisaidiaje wakuu
Meter No : 07 0553 6427 2
USER=234647]TANESCO[/USER]
 
Sasa hivi Tanesco wamesimama kuunganisha umeme tangu waziri aseme watu waunganishwe kwa 27,000 watendaji hawajapewa waraka wa kuwaelekeza ni mteja gani aunganinishwe kuanzia nguzo ngapi mpaka ngapi, mimi nimechorewa Ramani tangu tarehe 10 lakini kila ukiuliza Tanesco wanasema hawajapata maelekezo kutoka kwa MD kwa barua.

Waziri harakakisha waraka wa maelekezo, tarehe 4 MD alitoa waraka lakini watendaji inaonekana waliupinga kwa kwakuhoji kuwa itakuwaje mteja wa nguzo kuanzia 10 na kuendelea aunganishiwe kwa 27,000?

Sasa ndo bado MD hajawajibu
 
Je umepata changamoto wapi? Umeomba umeme kwa jina gani? Wilaya gani na namba ya simu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…